#KIGOGO WA MAMA🇱🇷 (@jaguar_455) 's Twitter Profile
#KIGOGO WA MAMA🇱🇷

@jaguar_455

#SISI NDIO SISI/

MAN UNITED /
REAL MADRID/ SIMBA SC

ID: 1540619608834596864

calendar_today25-06-2022 08:55:42

51,51K Tweet

6,6K Followers

1,1K Following

#KIGOGO WA MAMA🇱🇷 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei kuwawa matarajio ya marekani na Israel. Yalikuwa ni kuiona Iran inakuwa underdog kwao na kufata kile walikuwa wanakitaka pale Iran Hali imekuwa tofauti sana kwa washiha hawa ni kama wamechokozwa. Yaah Hussein karibala.

#KIGOGO WA MAMA🇱🇷 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

Israeli inasema kwamba Saudi Arabia huenda ikashambulia Iran hivi karibuni kufuatia mashambulizi ya Iran ya jana. Kuna muda haya masunni yanakuwa majinga sana kmmke, hivi mnatumia akili gani nyie watu. Iran tomba hao wapanga ratiba ya mwezi wa ramadhan na eid pumbavu

Israeli inasema kwamba Saudi Arabia huenda ikashambulia Iran hivi karibuni kufuatia mashambulizi ya Iran ya jana.

Kuna muda haya masunni yanakuwa majinga sana kmmke, hivi mnatumia akili gani nyie watu.

Iran tomba hao wapanga ratiba ya mwezi wa ramadhan na eid pumbavu
#KIGOGO WA MAMA🇱🇷 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

Wanachopitia Israel na Marekani kwa Iran ata mimi nimewahi pitia. Nimewahi kwenda kuswali kwenye msikiti wa mashisha, show inaanza ili usujudu unaweka ubao chini ya uso. Muda wa kufuturu ata kama uji una pilipili haupaswi kupuliza wa kusema unaungua. Hii misimamo yao ni noma.

#KIGOGO WA MAMA🇱🇷 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

BREAKING NEWS 🚨 Israeli imefanya mashambulio ya anga dhidi ya Uwanja wa Ndege wa Mehrabad uliopo mjini Tehran, Iran, kwa mujibu wa ripoti za vyombo mbalimbali vya habari.

#KIGOGO WA MAMA🇱🇷 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

🇧🇪 Ubelgiji imesema mashambulio ya Marekani na Israeli dhidi ya Iran “hayafiki viwango vya sheria za kimataifa” na yanakiuka sheria ya kimataifa.

🇧🇪 Ubelgiji imesema mashambulio ya Marekani na Israeli dhidi ya Iran “hayafiki viwango vya sheria za kimataifa” na yanakiuka sheria ya kimataifa.
#KIGOGO WA MAMA🇱🇷 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

BREAKING NEWS 🚨 “Kituo Kikuu cha Khatam Al-Anbiyaa cha Iran kimesema wazi kwamba Iran ndiyo iliyo kuwachimba na kuangusha ndege za kivita za Marekani.” Source :Xinhua News

BREAKING NEWS 🚨 

“Kituo Kikuu cha Khatam Al-Anbiyaa cha Iran kimesema wazi kwamba Iran ndiyo iliyo kuwachimba na kuangusha ndege za kivita za Marekani.” 

Source :Xinhua News
#KIGOGO WA MAMA🇱🇷 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

Makombora yote haya ya Iran wao wanasema ni materials ya mwaka 1956. Kwenye matumizi yao yote unayaona mpaka sasa wao wanasema wanatumia local materials. Bado anawaza kama wakianza kutumia materials ya 2000+ itakuaje kwa Israel na Marekani.

#KIGOGO WA MAMA🇱🇷 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

Donald Trump mara baada ya Uhispania kumkatalia kutumia kambi zake za kijeshi kumshambulia Iran. Hatimae leo amepiga marufuku kimahusiano ya kibiashara na Uhispania. Trump anamkumbatia yule analinda maslahi ya marekani tu. Iran inazidi kutuonyesha ubaya wa marekani

Donald Trump mara baada ya Uhispania kumkatalia kutumia kambi zake za kijeshi kumshambulia Iran. 

Hatimae leo amepiga marufuku kimahusiano ya kibiashara na Uhispania. 

Trump anamkumbatia yule analinda maslahi ya marekani tu.

Iran inazidi kutuonyesha ubaya wa marekani
#KIGOGO WA MAMA🇱🇷 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

Oya wanangu kuna hawa wanawake wenye ndevu kwenye swala mapenzi wanadunia yao. Experience nimeipata kwa wanawake hawa sijui niaze kuelezea kutoka chini au juu. Yapo mengi nataka kuelezea kuhusu hawa wanawake, unaweza dhani ni uongo lakini ni noma. Me niko hapa nachukua pongezi

#KIGOGO WA MAMA🇱🇷 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

Nachokiona Iran na kufatilia historia ya watu pele eti ni mashisha. Tulikuwa kwenye dua Sasa kuna kitabu kinaitwa BARAZANJI huwa kinasomwa. Jamaa wa shiha akasema hicho kimeandikwa na mashisha. Jamaa wa pendeni yangu akabisha alimpga kofi mpaka alama za vidole zikabaki usoni.

 𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™ (@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

Baada ya Spain 🇪🇸 kukataa kuiruhusu United States 🇺🇸 kutumia kambi zake za kijeshi kwa ajili ya mashambulizi dhidi ya Iran, Marekani imetangaza hatua kali ya kusitisha mahusiano ya kibiashara na Hispania!

#KIGOGO WA MAMA🇱🇷 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

Watoto wa Iran walikuwa kama Wajukuu zake walikuwa wanamletea miyeyusho sana Imaam. Leo marekani na Israel umeondoa furaha za watoto wa Iran kwa kumzushia propaganda. Mnastahili kupokea adhabu yoyote kwa hili mlilofanya kwa watu wa Iran. Pumzika kwa aman Imam Ali Khamenei 🙏

#KIGOGO WA MAMA🇱🇷 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

“Muislam yoyote anayepingana na Utakatifu wa Yesu na Mtakatifu Maria amekataliwa na Uislam, sisi dini yetu inamheshimu Yesu na Maria” - Ayatollah Ali Sayyid Hossein Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Iran 🇮🇷

“Muislam yoyote anayepingana na Utakatifu wa Yesu na Mtakatifu Maria amekataliwa na Uislam, sisi dini yetu inamheshimu Yesu na Maria”

- Ayatollah Ali Sayyid Hossein Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Iran 🇮🇷
#KIGOGO WA MAMA🇱🇷 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

BREAKING NEWS 🚨 Jeshi la Israeli linakumbana na hasara kubwa huko Yerusalemu na Ghaza wakati makombora na mashambulio ya ndege zisizo na rubani ya Iran yanapoendelea kuongezeka.

#KIGOGO WA MAMA🇱🇷 (@jaguar_455) 's Twitter Profile Photo

Trump anaomba msaada sasa kwa mataifa mengine ili iwe ngome ya kumshambulia Iran. Super power wenu amekuwa anatapatapa sasa licha ya kushirikiana na Israel. Muda utaongea tu super power atakuja kuwa Iran siku za mbeleni na hili ndio linampa pressure Trump.

Trump anaomba msaada sasa kwa mataifa mengine ili iwe ngome ya kumshambulia Iran. 

Super power wenu amekuwa anatapatapa sasa licha ya kushirikiana na Israel. 

Muda utaongea tu super power atakuja kuwa Iran siku za mbeleni na hili ndio linampa pressure Trump.