BIZNESS (@izzo_bizness) 's Twitter Profile
BIZNESS

@izzo_bizness

Recording Artist | Songwriter| Actor | Bizness All Day(B.A.D)| Izzo Bizness Brands| Hustler 💪🏿

ID: 325389487

linkhttps://www.boomplay.com/share/album/82197713 calendar_today28-06-2011 06:31:31

30,30K Tweet

127,127K Takipçi

607 Takip Edilen

BIZNESS (@izzo_bizness) 's Twitter Profile Photo

Nimeona Mkeka Wa Taifa Stars Sijamuona Mwanajeshi Mbwana Samatta Imekuaje? Maana Wanasema Experience Is The Best Teacher.

BIZNESS (@izzo_bizness) 's Twitter Profile Photo

MUNGU Baba Akusimamie Huko Ulipo Na Urudi Salama Kamanda 🙏🏽. MUNGU Aipe Nguvu Pia Familia Yako Maana Maumivu Wanayopitia Katika Nyakati Hizi Ni Ngumu Hata Kuelezeka. #SimamaimaraKaka

Habari CRDB Bank PLC Samahani Nina Pesa Imewekwa Kwenye Account Yangu Ya CRDB Na Mimi Na Kwa Sasa Sipo Nchini(TANZANIA) Na ATM Card Yangu Imeexpire Nahitaji Kujua Namna Gani Naweza Toa Ama Kupata Pesa Hiyo Naomba Msaada Wenu Nimejitahidi Kufanya Jitihada Sijapata Majibu Yoyote.

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#VIDEO Baadhi ya wakina mama waliohudhuria Mahakama Kuu ya Dar es Salaam, masijala ndogo wamesikika wakilia wakimuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan aweze kuwasaidia watoto wao waweze kupatikana. Vijana ambao wanadauwa kuwekwa kizuizini ni

BIZNESS (@izzo_bizness) 's Twitter Profile Photo

Sema Hii Coverage Inapigwa Hapa Kuhusu Hii Transfer Window Kwenye Hizi Nyakati Za Mwisho 🙌🏾. Hawa Jamaa Wako Serious Sana Na Hii Shughuli Duh

BIZNESS (@izzo_bizness) 's Twitter Profile Photo

So Kuhusu Issue Ya Ugarte Kucheza Kipara Anasema Anahitaji Kupata Fitness Kwanza Na Inaweza Kuchukua Wiki Kadhaa Mpaka Mwezi Muda Huo Huo Ugarte Kaitwa Timu Ya Taifa Kwenda Kukiputa Huyu Kipara Anamatatizo Ya Akili Sio Bure. Huyu Mzee Atatupa Kisukari Huu Mwaka

BIZNESS (@izzo_bizness) 's Twitter Profile Photo

Kuna Ule Wakati Maisha Yanapiga Haswa Mpaka Msosi Unakuwa Wa Manati Kabisa Nyumbani Na Kila Mtu Anajionea Lakini Unafika Muda Wa Kula Bado MAMA Atawaambia Nyie Kuleni Mimi Nimeshiba Dah. HAKUNA KAMA MAMA. MUNGU Baba Awalinde Mama Zetu. Na Kwa Waliotangulia Mbele Za Haki R.I.P 🙏🏽

BIZNESS (@izzo_bizness) 's Twitter Profile Photo

My Brother DupyBeatz Yupo Kwenye Kinyang’anyiro Cha MTOZI BORA WA MUZIKI WA HIP HOP WA MWAKA Na Anaomba Kura Yako. Jinsi Ya Kumpigia Kura Fuata Hiyo Link Hapo Chini 👇🏿👇🏿 shorturl.at/NJTym

My Brother <a href="/DupyBeatz/">DupyBeatz</a> Yupo Kwenye Kinyang’anyiro Cha MTOZI BORA WA MUZIKI WA HIP HOP WA MWAKA Na Anaomba Kura Yako. Jinsi Ya Kumpigia Kura Fuata Hiyo Link Hapo Chini 👇🏿👇🏿

                                 shorturl.at/NJTym
BIZNESS (@izzo_bizness) 's Twitter Profile Photo

Moja Kati Ya Game Nilikuwa Napenda Kucheza Ni KARATA Lakini Imagine Mpaka Leo Sijawahi Kujua Kucheza ALBASTINI Pia Hata Sielewagi Inaendaje Yani 😂

BIZNESS (@izzo_bizness) 's Twitter Profile Photo

Ebwana Hivi TMA Wamemkumbuka Dada Yangu SAUDA MWILIMA Hata Tuzo Ya Heshima Jamani? Dada Kaupiga Sana Kwenye Kiwanda Hiki Heshima Tele Kwake 🫡