Kelvin Mwangi(@ItsMwangiKelvyn) 's Twitter Profileg
Kelvin Mwangi

@ItsMwangiKelvyn

An Automotive Engineer🛠 Manchester United Diehard‼️ #BarakaZaMilele // #MainaAndKingangi 🎵🎹🎸Above All,God-Fearing Man.🙏🙏

ID:1088611370894049280

calendar_today25-01-2019 01:35:51

116,5K Tweets

10,9K Followers

5,8K Following

Isaiah 54:2 Enlarge,stretch! Gen 1:18 fruitfulness(@EvahMwalili) 's Twitter Profile Photo

...MUNGU AFANYE UZAANE NA UONGEZEKE!
Kutoka 1:7-12...Mungu anauwezo wa kufanya uongezeke hata katika mazingira magumu, hatishwi na mazingira, He is a protocol breaker! Naomba asababishe uzaane, hata katika hali hiyo ngumu. Tukutane Galilaya!

account_circle
Isaiah 54:2 Enlarge,stretch! Gen 1:18 fruitfulness(@EvahMwalili) 's Twitter Profile Photo

..NYAMAZISHA! HESABU 13:25-30..Chukua mfano wa Kalebu na unyamazishe sauti duni, usizipatie nafasi zitawale safari yako ya Galilaya. Umetoka mbali Na Mungu amekuahidi mengi, usikubali sauti za watu ambao hawana imani zikupotoshe. Tukutane Galilaya!

account_circle
Radio 47(@Radio47KE) 's Twitter Profile Photo

...USIOGOPE UPEPO! Mathayo 14:28-30...Wengi tuko kama Petero, tulianza mwendo vyema, mwaka vyema lakini mawimbi yametusonga na tumeanza kuogopa. Leo nimekuja kukukumbusha usiogope, aliyekuita nimwaminifu na hatakuachilia. Endelea na safari kwa ujasiri, Tukutane Galilaya

#Neno...USIOGOPE UPEPO! Mathayo 14:28-30...Wengi tuko kama Petero, tulianza mwendo vyema, mwaka vyema lakini mawimbi yametusonga na tumeanza kuogopa. Leo nimekuja kukukumbusha usiogope, aliyekuita nimwaminifu na hatakuachilia. Endelea na safari kwa ujasiri, Tukutane Galilaya
account_circle
Isaiah 54:2 Enlarge,stretch! Gen 1:18 fruitfulness(@EvahMwalili) 's Twitter Profile Photo

...USIOGOPE UPEPO! Mathayo 14:28-30...Wengi tuko kama Petero, tulianza mwendo vyema, lakini mawimbi yametusonga na tumeanza kuogopa. Nimekuja kukukumbusha usiogope, aliyekuita nimwaminifu na hatakuachilia. Endelea na safari kwa ujasiri, Tukutane Galilaya!

account_circle
Isaiah 54:2 Enlarge,stretch! Gen 1:18 fruitfulness(@EvahMwalili) 's Twitter Profile Photo

...UMETOKA MBALI, KATAA KUTAKA TAMAA. Mwanzo 32:22-32..Yakobo alipambana usiku kucha, hangetoka pale bila baraka. Nawe pia umepambana sana, umevuka milima, umevumilia uchungu mwingi, huwezi kata kataa, you've come too far to give up!! Tukutane Galilaya!

account_circle