iDesign (@immichael_k) 's Twitter Profile
iDesign

@immichael_k

Helping small business owners design scroll-stopping visuals to boost customer conversions from 19% to 20% • #muuzachai💰

ID: 391177053

linkhttp://kapingadesigns.com calendar_today15-10-2011 05:11:46

16,16K Tweet

1,1K Followers

361 Following

iDesign (@immichael_k) 's Twitter Profile Photo

Muna watu wanahisi wako serious kumbe sio.. Unaona kazi za videos Utamani afanyiwe Haya unampewa bajeti Anaanza kusema mimi bajeti yangu 40k mtu aje shop afanye shooting na "aedit vizuri sana" Nigga whaaat??? Unajua kimbembe cha kusuka sequence kwenye Pr..

iDesign (@immichael_k) 's Twitter Profile Photo

Tafuta mtoto mmoja anajiita mtoto wa mjeshi.. ule mtaa wasioupenda Hizi moves zote ali anticipate week kabla na anasema kwanini

iDesign (@immichael_k) 's Twitter Profile Photo

One content imenipa followers wapya 1.2k na Imegharimu saa 1 na kidogo katika kudevelop idea script kushoot na kuedit. Kubwa zaidi ni post pekee kufikia 100k IG Kila mmoja anahitaji breakthrough tena kwa ile conte ambayo hudhanii...

One content imenipa followers wapya 1.2k na 

Imegharimu saa 1 na kidogo katika kudevelop idea script kushoot na kuedit. 

Kubwa zaidi ni post pekee kufikia 100k IG

Kila mmoja anahitaji breakthrough tena kwa ile conte ambayo hudhanii...
iDesign (@immichael_k) 's Twitter Profile Photo

#uzachai uwezavyo lakini unaambiwa hela ina kazi 4 tu: - spending - saving - investment - donation Wewe yako ina kazi ngapi? Unapoingiza sasa, tenga vibucket vi 5: - necessity 60% - emergency 10% - investment 10% - learning 10% - fun 10% Ya kuhonga tuweke wapi?

#uzachai uwezavyo lakini unaambiwa hela ina kazi 4 tu: 
 
- spending 
- saving 
- investment 
- donation 

Wewe yako ina kazi ngapi? 
 
Unapoingiza sasa, tenga vibucket vi 5:

- necessity 60% 
- emergency 10% 
- investment 10% 
- learning 10% 
- fun 10%  

Ya kuhonga tuweke wapi?