sindu(@Iamsindutz) 's Twitter Profileg
sindu

@Iamsindutz

🗣️Mtu wa watu wote nawapenda 👥 pia ni Mtu mwenye utani kiasi ll #WANAZI__HQ ll tuishi kwa pamoja..✍️

ID:1485985529808228354

linkhttp://brown.co.com calendar_today25-01-2022 14:39:06

26,9K Tweets

7,5K Followers

1,8K Following

@ABAJAlO KUGIS🇹🇿⚽🥅ZUGA(@manofpeople18) 's Twitter Profile Photo

Ebu kuweni na huruma wadada wa humu nauli 100000 hela ya kusuka 60000 mtu mwenyewe mkupesha vitu mua wa watu hela hiyo kachanga mwaka mzima Leo umezima cm mtakuja rogwa af mnakuja tuwachangie hela ya tiba

account_circle
Big Mary(@maryjanne09) 's Twitter Profile Photo

Rafiki yangu kanitext nakupenda nikamjibu ubarikiwe sana nashangaa kaniblock!!Kwani kosa langu ni lipi hapo?🤔

account_circle
MZUNGU PORI💪(@Mzungu_pori1) 's Twitter Profile Photo

Unachotakiwa kuelewa, ni kuwa huo wakati unaopitia hauko pekee yako kwenye majanga hayo au furaha hiyo, kwahiyo hautakiwa kujikatia tamaa au kujibweteka sana..🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️

Good morning Fam🙏🙏

account_circle