Ismael Kimirei (@ikimirei) 's Twitter Profile
Ismael Kimirei

@ikimirei

Aquatic ecologist, fisheries biology and management, Lake and Ocean science. I like writing and reading. RT is not necessarily an endorsement

ID: 804601540908613632

calendar_today02-12-2016 08:22:10

31,31K Tweet

1,1K Followers

585 Following

National Defence College Tanzania (@ndc_tz) 's Twitter Profile Photo

Tarehe 02 Septemba, 2024 Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania kimefungua kozi ya kumi na tatu ya mwaka 2024/2025. Kozi hii ina idadi ya Washiriki 61 kutoka katika Mataifa 17 ikiwemo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb) ameshiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa 35 wa Kamati ya Kudumu ya Fedha ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), ambapo Mgeni Rasmi

Dan Friess (@danfriess) 's Twitter Profile Photo

At WIREs Climate Change Wiley Interdisciplinary Reviews we publish review articles on all aspects of climate change If you have manuscript ideas then reach out! We’re particularly keen to work with authors from Africa, Asia and Latin America, and we work with authors to refine their proposals

At WIREs Climate Change Wiley Interdisciplinary Reviews we publish review articles on all aspects of climate change

If you have manuscript ideas then reach out!

We’re particularly keen to work with authors from Africa, Asia and Latin America, and we work with authors to refine their proposals
MFA Tanzania (@mfa_tanzania) 's Twitter Profile Photo

President of the United Republic of Tanzania, H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan arrived in Beijing, China, to attend the Forum on China-Africa Cooperation Summit. Samia Suluhu is expected to hold a bilateral meeting with her counterpart, H.E. Xi Jinping, on the sidelines of the event.

US Embassy Tanzania (@usembassytz) 's Twitter Profile Photo

Wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Vijana huko Zanzibar, yaliyoandaliwa na Taasisi ya Global Youth Empowerment kwa ushirikiano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Joel Nanauka, mhitimu wa mpango wa International Visitor Leadership Program (IVLP) wa mwaka 2022,

During the celebration of International Youth Day in Zanzibar, organized by Global Youth Empowerment Institute in collaboration with the Revolutionary Government of Zanzibar, Joel Nanauka, a 2022 International Visitor Leadership Program (IVLP) alumnus was recognized with the

Marjolijn Christianen (@penyuku) 's Twitter Profile Photo

We are hiring! Join the #WildMarsh Team on #TrophicRewilding in coastal ecosystems at Wageningen U&R & NIOZ 🌊 🌱Jim van Belzen 🪱🦋🦉 , PhD 1: Experiments on #rewilding tinyurl.com/3bfwe5bu PhD 2: Model resilience & indicators tinyurl.com/nzmuv8bb. Enthusiastic? Apply <29 Sep.

University of Dar es Salaam (@udsmofficial) 's Twitter Profile Photo

Dar University College of Education (DUCE) has scooped a prestigious national award for exemplary performance in implementing CAG recommendations, 2022/2023 financial year. Presented by President Samia Suluhu Hassan, the award recognizes DUCE’s commitment to financial integrity!

UONGOZI Institute (@uongozi) 's Twitter Profile Photo

We’re incredibly grateful to Amb. Dr. Aziz Mlima and everyone who joined us at our Resource Centre in Dar and through Zoom last Friday to discuss "The 10 Rules of Successful Nations" by Ruchir Sharma Two key takeaways from Amb. Mlima’s reflections: ➡️ Sharma’s 10 rules may be

We’re incredibly grateful to Amb. Dr. Aziz Mlima and everyone who joined us at our Resource Centre in Dar and through Zoom last Friday to discuss "The 10 Rules of Successful Nations" by Ruchir Sharma

Two key takeaways from Amb. Mlima’s reflections:

➡️ Sharma’s 10 rules may be
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi wa The Great Hall of the People kabla ya kuanza mazungumzo jijini Beijing, tarehe 4 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na ujumbe wake wakiwa kwenye kikao cha pamoja na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping na ujumbe wake katika ukumbi wa The Great Hall of the People jijini Beijing, tarehe 4 Septemba, 2024.

Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Beijing,China 🇹🇿🇨🇳 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi wa The Great Hall of the People kabla ya kuanza mazungumzo jijini Beijing, tarehe 4 Septemba, 2024. 📸:IKULU

📍Beijing,China

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi wa The Great Hall of the People kabla ya kuanza mazungumzo jijini Beijing, tarehe 4 Septemba, 2024.

📸:IKULU
EU in Tanzania (@euintz) 's Twitter Profile Photo

Tunamtambulisha Marc Stalmans, Mkuu wetu mpya wa Ushirikiano. Marc amejiunga nasi kutoka European Commission, ambako awali alihudumu kama mratibu wa kanda ya Pembe ya Afrika. Anafurahi kuwa nasi na yuko tayari kuchangia malengo ya Umoja wa Ulaya na Tanzania🇪🇺🇹🇿 Karibu Tanzania!

Tunamtambulisha Marc Stalmans, Mkuu wetu mpya wa Ushirikiano.

Marc amejiunga nasi kutoka European Commission, ambako awali alihudumu kama mratibu wa kanda ya Pembe ya Afrika.

Anafurahi kuwa nasi na yuko tayari kuchangia malengo ya Umoja wa Ulaya na Tanzania🇪🇺🇹🇿

Karibu Tanzania!
Nairobi Convention (@ncsecretariat) 's Twitter Profile Photo

🌊 The Our Blue Future (OBF) Secretariat is holding a strategy Workshop on Sep 3-4 2024, in Nairobi. 🔵Over the 2 days, the Steering Team and a diverse group of partners are reflecting on OBF's progress and strategizing to enhance its effectiveness: our-blue-future.org

🌊 The Our Blue Future (OBF) Secretariat is holding a strategy Workshop on Sep 3-4 2024, in Nairobi.

🔵Over the 2 days, the Steering Team and a diverse group of partners are reflecting on OBF's progress and strategizing to enhance its effectiveness: our-blue-future.org
DanidaFellowship (@dfc_fellowship) 's Twitter Profile Photo

From a Danish Master’s degree to a plastic recycling enterprise in #Uganda! In 2017, Peter Okwoko graduated from Aalborg Universitet with a Master’s degree and a vision. Today, he runs the plastic recycling enterprise Takataka Plastics: shorturl.at/rzy6b Signe Winding Albjerg

Chen Mingjian 陈明健 (@chenmingjian_cn) 's Twitter Profile Photo

Breaking news: The MoU on the revitalization project of the #TAZARA railway has been signed today in Beijing, jointly witnessed by 🇨🇳 President Xi Jinping, 🇹🇿 President Samia Suluhu Hassan & 🇿🇲 President Hakainde Hichilema. Look forward to the real revitalization of TAZARA!

Breaking news: The MoU on the revitalization project of the #TAZARA railway has been signed today in Beijing, jointly witnessed by 🇨🇳 President Xi Jinping, 🇹🇿 President Samia Suluhu Hassan & 🇿🇲 President Hakainde Hichilema. Look forward to the real revitalization of TAZARA!
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Watu wa China Mhe. Wang Huning, Beijing nchini China tarehe 04 Septemba, 2024.