Angry Citizen (@hamiskittumma) 's Twitter Profile
Angry Citizen

@hamiskittumma

#WARNING:
Tweets contains opinions that may offend | Conspiracy Theorist.

ID: 528292002

calendar_today18-03-2012 08:21:27

109,109K Tweet

6,6K Followers

4,4K Following

Shekh Ally Mohamed (Kadogoo) (@shekhalykadogoo) 's Twitter Profile Photo

Mimi muislam nani chadema, nakiongozi, napinga hadharani kuhusisha uislam nautawala wamtu, Rais mkapa aliingia naviatu msikitini 1998 mwembechai nawaislam wakauliwa, je alitumwa naukristo wake!? Tukipanda chuki ya udini hatutobaki salama,katika swala la dini hatutokubaliana

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Huyu hadaiwi na Mtu....Siyo Muhalifu. ...Hajadhulumu Mtu kitu chochote. Tatizo lake kubwa kama lipo ni kuwa Mkweli... Tatizo lake ni kuwa nafikra huru.... Tatizo lake ni kuipenda Tatizo lake ni kukosoa kisichokuwa sawa Tatizo lake ni kuipenda na kuota kuwa na TANGANYIKA YETU.

Huyu hadaiwi na Mtu....Siyo Muhalifu. ...Hajadhulumu Mtu kitu chochote.
Tatizo lake kubwa kama lipo ni kuwa Mkweli...
Tatizo lake ni kuwa nafikra huru....
Tatizo lake ni kuipenda
Tatizo lake ni kukosoa kisichokuwa sawa
Tatizo lake ni kuipenda na kuota kuwa na TANGANYIKA YETU.
Nassib Mkomwa (@nassibmkomwa_) 's Twitter Profile Photo

🗣"Taarifa tuliyokuwa nayo kutoka kwenye mamlaka za mpira ni mechi ipo Juni 15 na Simba SC tunafanya maandalizi yote kuelekea katika mchezo huo, tungependa kuwaomba wenyeji wa mchezo huo watangaze viingilio mapema ili mashabiki wetu waanze kununua tiketi mapema."- Ahmed Ally.

🗣"Taarifa tuliyokuwa nayo kutoka kwenye mamlaka za mpira ni mechi ipo Juni 15 na Simba SC tunafanya maandalizi yote kuelekea katika mchezo huo, tungependa kuwaomba wenyeji wa mchezo huo watangaze viingilio mapema ili mashabiki wetu waanze kununua tiketi mapema."- Ahmed Ally.
Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

“Wenyeji wetu waseme viingilio wanatangaza lini na uwanja ni upi. Sisi tuna shauku kubwa kwelikweli. Tutatoa taarifa, si tu taarifa ya ndani, tutatoa taarifa mpaka kwenye vyombo vya habari ya kwamba; leo tarehe 14, saa fulani, Simba SC tunakwenda kufanya mazoezi katika uwanja

“Wenyeji wetu waseme viingilio wanatangaza lini na uwanja ni upi. Sisi tuna shauku kubwa kwelikweli. Tutatoa taarifa, si tu taarifa ya ndani, tutatoa taarifa mpaka kwenye vyombo vya habari ya kwamba; leo tarehe 14, saa fulani, Simba SC tunakwenda kufanya mazoezi katika uwanja
Richard Mabala (@mabalamakengeza) 's Twitter Profile Photo

Naomba nikumbushwe utaratibu wa kuwachukulia hatua watu ambao wanasadikiwa wamevunja sheria? Je wanapaswa kufikishwa mahakaman nk. Na utaratibu wa kumdeport mtu unakuwaje Gerson Msigwa

Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Aliyekuwa mmoja wa waasisi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Eugene Kabendera leo Jumatano, Juni 4, 2025 ametangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

ALLAH'S BEAUTY عابدة (@abedadocrat) 's Twitter Profile Photo

"On the day of Arafah…* forgiveness descends like rain, supplications soar higher than ever, and *ALLAH (ﷻ)* draws closer to His servants… than on any other day of thė year."A🤲

Adamoo (@addy_adams) 's Twitter Profile Photo

Kesho Inshaallah siku ya Alhamis Waislam yatupasa kupata Sunnah ya ARAFAH kwani siku ya Ijumaa itakua ni EID na pia ni Sunnah kuchinja Mnyama kwa aliye jaaliwa na kuwapa kitoweo wenye Uhitaji jMosi ni Eid ya Wazee wa Ubwabwa Ndizi sukari

Salim Alkhasas (@salim_alkhasas) 's Twitter Profile Photo

Nadhani kuna shida sehemu, waislamu tunaingiaje hapo? Si ushindanie hoja yako bila kutuingiza sisi? Kuna masheikh 6 wamehukumiwa kunyongwa umesikia tukiongelea wakristo? Masheikh wa Uamsho walikaa ndani miaka ulisikia tukiongelea dini nyengine?

Godfrey Achireka Jr. (@1travela) 's Twitter Profile Photo

Mbona mi hawanishangai?.. By the way kwa mtazamo wangu nafikiri mtu (hasa mwanaune)/unagakiwa kuwa na watoto unapokuwa ready hasa mentally.. Kuzaa sio fasheni ni majukumu!