HabariTech (@habaritech) 's Twitter Profile
HabariTech

@habaritech

Ulimwengu wa Teknolojia kiganjani mwako.

#HabariTech

ID: 1325684321320009728

linkhttps://habaritechtz.com calendar_today09-11-2020 06:19:19

37,37K Tweet

20,20K Followers

700 Following

HabariTech (@habaritech) 's Twitter Profile Photo

Ukishaoa jitahidi sana mkeo asifanye kazi ofisi za watu. Usipoelewa kama mzazi wa kiume bado anapumua nenda kamuulize 😁

HabariTech (@habaritech) 's Twitter Profile Photo

Weirdly watu wanaojua sana technicals/skill fulani huwa wako kimya sana. Ni kama hawajui kujitangaza kwa social media, na ni wachache huwa wako silently wanapiga pesa, ila wengi maisha magumu. Kwa context ya TZ.

HabariTech (@habaritech) 's Twitter Profile Photo

Swali jepesi mno hili 1. Supernatural 2. Billions 3. Yellowstone 4. House of Cards 5. Peaky Blinders 6. Taboos 7. Scandal HIzo hapo in that order nafasi 3 zilizobaki bado hazijapata wa kuingia kwenye hiyo list.

HabariTech (@habaritech) 's Twitter Profile Photo

Naweza spend hours nikiangalia Gardening & Farming videos on youtube ila sio Tech Videos. Nimeangalia tech videos chache mno kulinganisha na zinazohusu Kilimo.

HabariTech (@habaritech) 's Twitter Profile Photo

Draft inanoga ikiwa live face to face kitu nawaza draft kama hii ipate option ya audio mnacheza huku mnapiga stori kama wana wa PUBG vile. dama-max-capture-game.lovable.app