Taluma The Boy (@htaluma) 's Twitter Profile
Taluma The Boy

@htaluma

Wangap wanatafut nafas wew unachezea

ID: 1578763466264961025

calendar_today08-10-2022 15:06:29

231 Tweet

138 Takipçi

379 Takip Edilen

𝑱𝑺 (@jsmtupoa) 's Twitter Profile Photo

Wakati mwingine nunua tu ukiwa vizuri mfuko hata kama utumii hiyo bidhaa utampa yoyote huko uendako, maana hatafuti ili atajirike ila ni kwasababu ya Tumbo.'

Wakati mwingine nunua tu ukiwa vizuri mfuko hata kama utumii hiyo bidhaa utampa yoyote huko uendako, maana hatafuti ili atajirike ila ni kwasababu ya Tumbo.'
Taluma The Boy (@htaluma) 's Twitter Profile Photo

Asante mungu wangu kwakunipa punzi mpaka leo hii nakufanya mama yangu kusimama mpaka leo hii tupe maisha marefu mwisho mwema sina tena mzazi zaidi yake blessings mungu wetu amen 🙏🙏🙏

Asante mungu wangu kwakunipa punzi mpaka leo hii nakufanya mama yangu kusimama mpaka leo hii tupe maisha marefu mwisho mwema sina tena mzazi zaidi yake blessings mungu wetu amen 🙏🙏🙏
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Kama unakubaliana na ujumbe wa mwanamama huyu tafadhali weka retweet moja ya kibabe na mtag ambaye ungependa ujumbe huu umfikie