Kips (@hnated) 's Twitter Profile
Kips

@hnated

#PamojaTwajijenga

ID: 1466391854614814728

calendar_today02-12-2021 13:00:56

5,5K Tweet

637 Followers

549 Following

Joy Boy (@_greatnesstupu) 's Twitter Profile Photo

Bibi Mjaluo ni hatari buana. Inabidi ukue mkali nikama uko vita saazote. Ukifika kwa nyumba unawekelea meza kofi paa! Alafu unanyamaza make sure viatu zako zinanuka na usikubali akuulize swali yoyote, ukitulia kidogo amka uende ugonge drum ya teke ,ingia paka mavidevu

Robiiiiiiiii🀍 (@nyar_sakwaa) 's Twitter Profile Photo

Naskia younger men ndio sai ni wazuri,23 24 hapo,wanajua kutreat wanawake,they're not manipulative like grandpas of 28 and above,shida naskia ni immaturity

Chelsy (@_malowaa) 's Twitter Profile Photo

This year I remember doing this and also putting a packet of eclairs ndio hypoglycemia isimalize daktari, anyway he got engaged last month.

Gidi πŸƒ (@gidi014) 's Twitter Profile Photo

Si nilidhani hii ni kitu ya kawaida kwa Wakale ama? Back in campus all the kale boys nilikua najua walikua wanachapa madame wao. And the girls were okay with it.