Mimi madem wakisi nlifunga chapter.Nshai pelekwa intro kwa kina Dem anaitwa Elodie.Nlipikiwa managu ingine kali.After nimejikaza kumaliza nikaulizwa kama nta kunywa maziwa. Nlisema yes very fast,siku jua maziwa yao ndio sumu.Nili-mark territory from kisi to nai nlihara county nne