@Godwin42268987
ID:1198918792153317376
calendar_today25-11-2019 10:58:36
4,1K Tweets
4,5K Followers
4,8K Following
2 weeks ago
Kwani dar es salaam wanafunzi wanaanza vipindi darasani saa ngapi??
3 weeks ago
Kesho ndio yake mapilao yenye mamitimiti ndio yanapokwaπππ
Utopolo wemenyimwa goal π€
Hapo shingi efuu mbili TUπ
1 month ago
Yanga wamekataa kuvaa nembo ya NBC ya rangi nyekundu,,,ila wanavaa bipsi nyekunduπππ
Manchester united imekuwa team mbovu sana,,jamaniπ€
2 months ago
Watu wanao andamana Arusha wanaonekana kabisa ni watu wanaojielewa,,,sio watu waliolazimishwa au waganga njaa,,
Huyu jamaa ndio wakupata comment 6 ndani ya massa 6,,,mmhh maisha yanaenda Kasi sana,
3 months ago
Mimi naona Arusha mgao wa umeme umekuwa mkali zaidi ya mikoa yoteππ
Nimemsikia mama kizii,,,,kasema mbeleko yake ya kuwabeba yuviisisiemu Bado ni mzima,,πππ
Magari ya kuzolea takataka Jiji la Arusha na yenyewe ni takataka TUππ
4 months ago
πππ
ππππ
Kijana wetu wa Kitanzania ameuawa na magaidiππππ
π€£
Bukayo Saka scores our 100th goal in 2023 π
The construction of Amahoro Stadium in Rwanda has set many good examples of accountability, proper governance structures and efficiency for Africa.
Mbona wachezaji wa utopolo wanasali hivyoππππ