KingstoneBright. (@godfreyraston) 's Twitter Profile
KingstoneBright.

@godfreyraston

ID: 1432988182434418690

calendar_today01-09-2021 08:46:54

1,1K Tweet

2,2K Takipçi

3,3K Takip Edilen

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Inauma ukisomesha Mtoto na hakusaidii, inauma kama Baba umekufa halafu Mtoto anashindwa kukuzika, inauma kugundua raundi ya kwanza imetamatika na Mnyama anaongoza Ligi, inauma kugundua Jean Charles Ahoua anaendelea kutakata na inauma zaidi kugundua ‘Namba sita ya Airport’

Banza Media (@banzamedia243) 's Twitter Profile Photo

Kwa Ili NI Kweli Kwamba Mbosso amesibitisha kuwa yeye ni mfalme wa Bongo Fleva! Utendaji wake wa live ulikuwa wa kiwango cha kimataifa. Tumeshaona live Performance Nyingi Za Wasanii Wa kubwa Tanzania Ila Hii ya mbosso akuna ya kuifikia , uchezaji wa kuvutia, na hadithi za kugusa