Godygodie (@godfrey9090) 's Twitter Profile
Godygodie

@godfrey9090

Economist,transporter n karateka

ID: 814830420487524353

calendar_today30-12-2016 13:48:05

915 Tweet

100 Followers

752 Following

Ezekiel (@mtotowak) 's Twitter Profile Photo

Kazi yangu niufundi vitu ambavyo na dilinavyo kwenye ufundi wangu ni vifuatavyo👇 1. Tella 2. Degra 3. Boza 4. Tenk zamafuta 5. Box body 6. Open Body 7. Kuongeza chasis na kudabo chasis 8. Kutengeneza tenk za mgongoni Naombeni sapoti zenu kazi yangu ifike

Kazi yangu niufundi vitu ambavyo na dilinavyo kwenye ufundi wangu ni vifuatavyo👇
1. Tella
2. Degra
3. Boza
4. Tenk zamafuta
5. Box body
6. Open Body
7. Kuongeza chasis na kudabo chasis
8. Kutengeneza tenk za mgongoni 
Naombeni sapoti zenu kazi yangu ifike
Ezekiel (@mtotowak) 's Twitter Profile Photo

Kazi yangu niufundi vitu ambavyo nadili navyo kwenye ufundi wangu ni👇 1. Tella 2. Degra 3. Boza 4. Sistym ya tenki zamafuta 5. Tella za mirango 6. Box body 7. Open body Kwa mwasiliano zaidi nipigie👇 0787782522 Hi kazi hadi mikoani nafika kikubwa maelewan

Kazi yangu niufundi vitu ambavyo nadili navyo kwenye ufundi wangu ni👇
 
1. Tella 
2. Degra
3. Boza
4. Sistym ya tenki zamafuta
5. Tella za mirango
6. Box body
7. Open body 
Kwa mwasiliano zaidi nipigie👇
0787782522
Hi kazi hadi mikoani nafika kikubwa maelewan
Ezekiel (@mtotowak) 's Twitter Profile Photo

Mungu kwanza mengine baadae natumaini kila mtu nimzima wa afya, maboss nipo hapa kwakuwambia Natengeneza Box body Open body tella Degra mfumo watenk zamafuta, boza kuongeza chasis na kudabo chasis kwa mawasiliano zaidi 0787782522

Mungu kwanza mengine baadae natumaini kila mtu nimzima wa afya, maboss nipo hapa kwakuwambia 
Natengeneza Box body Open body tella Degra mfumo watenk zamafuta, boza kuongeza chasis na kudabo chasis kwa mawasiliano zaidi

0787782522
Nindi.Jr ㄷㄱㅑㅊ (@nindi_jr) 's Twitter Profile Photo

TBT: ‘TAI CHI MASTER’ (1993) – Jet Li Na Michelle Yeoh Throwback Yetu Ya Leo 1993 – Dunia Ilipewa Muvi Ya Action Na Mapigano Yenye Hisia Kali, Tai Chi Master, Ndani Wapo Jet Li Na Michelle Yeoh. Tukumbushane Kuhusu Hili Dude Lililokimbiza Enzi Za Mabanda Umiza LessGooooo👇🏽

TBT: ‘TAI CHI MASTER’ (1993) – Jet Li Na Michelle Yeoh
Throwback Yetu Ya Leo

1993 – Dunia Ilipewa Muvi Ya Action Na Mapigano Yenye Hisia Kali, Tai Chi Master,
Ndani Wapo Jet Li Na Michelle Yeoh.
Tukumbushane Kuhusu Hili Dude Lililokimbiza Enzi Za Mabanda Umiza

LessGooooo👇🏽
Ezekiel (@mtotowak) 's Twitter Profile Photo

Kwa nguvu za mungu kazi kwa hapa imemalizika kilichobaki nikuishusha kwenye gari, maboss karibuni tufanye kazi 0787782522

Kwa  nguvu za mungu kazi kwa hapa imemalizika kilichobaki nikuishusha kwenye gari, maboss karibuni tufanye kazi 

0787782522
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Wakubwa, kimfuacho mtu chake. Jamaa yangu anasukuma viwanja vyake. "Miliki Kiwanja Mkonze Bei ni 4M tu (offer) Vipo 4km kutoka SGR 9km kutoka Dodoma Town Panafikika kirahisi Km 2.5 kutoka Iringa Road" Please rt, Mteja wake anaweza kuwa Tl yako 🙏🏼

Wakubwa, kimfuacho mtu chake.
Jamaa yangu anasukuma viwanja vyake.
"Miliki Kiwanja Mkonze 

Bei ni 4M tu (offer)

Vipo 4km kutoka SGR
9km kutoka Dodoma Town 
Panafikika kirahisi 
Km 2.5 kutoka Iringa Road"
Please rt, Mteja wake anaweza kuwa Tl yako 🙏🏼
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Leadership in healthcare isnt just about titles, it is about commitment to service. Ntuli Kapologwe who was on the frontlines during Marburg and MPox outbreaks, continues to fight for better health systems in East Africa. His work speaks louder than words. Ntuli Kapologwe