Gift Kimaro (@giftkimaro7) 's Twitter Profile
Gift Kimaro

@giftkimaro7

Accountant | Entrepreneur | Social Media Influencer| Yangasc

Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu 💪💪

ID: 929275584227799040

calendar_today11-11-2017 09:12:19

29,29K Tweet

7,7K Followers

2,2K Following

Gift Kimaro (@giftkimaro7) 's Twitter Profile Photo

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Lindi wakifurahia upatikanaji wa vitabu shuleni. Shule hii ni ya mchepuo wa sayansi na ni moja kati ya shule 26 za wasichana zilizojengwa na Serikali kupitia Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) katika mikoa yote nchini. #MamaYukoKazini

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Lindi wakifurahia upatikanaji wa vitabu shuleni.  Shule hii ni ya mchepuo wa sayansi na ni moja kati ya shule 26 za wasichana zilizojengwa na Serikali kupitia Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) katika mikoa yote nchini.
#MamaYukoKazini