Gift Kimaro(@GiftKimaro7) 's Twitter Profileg
Gift Kimaro

@GiftKimaro7

Accountant| Entrepreneur|SocialMediaInfluencer| Yangasc ~|Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu πŸ’ͺπŸ’ͺ

ID:929275584227799040

calendar_today11-11-2017 09:12:19

25,3K Tweets

7,0K Followers

2,4K Following

Follow People
Paschal sam(@PaschalSam1) 's Twitter Profile Photo

Burudani zinaendelea tena Leo usiku ndani ya DStv . Ni usiku wa EUROPA LEAGUE,Roma Vs Bayer Leverkusen.

Burudani hizi utazicheki Kwa 25,000 tu Kwenye kifurushi ha BOMBA. Cha kufanya ni kulipia tu. Bofya *150* 53# .

Burudani zinaendelea tena Leo usiku ndani ya DStv . Ni usiku wa EUROPA LEAGUE,Roma Vs Bayer Leverkusen. Burudani hizi utazicheki Kwa 25,000 tu Kwenye kifurushi ha BOMBA. Cha kufanya ni kulipia tu. Bofya *150* 53# . #MfalmeWaBoma
account_circle
Gaspinho(@Gaspinho15) 's Twitter Profile Photo

VIFAA VYA KISASA VYATUA BANDARI YA DAR

▢️Mwekezaji bandari ya Dar ameanza kushusha vifaa ikiwemo mashine 8 za RTG, Mashine 19 za kushusha kontena na jenereta kubwa za kuendesha mashine hizo.

▢️Mama amefanikisha uwekezaji bandari ili kuongeza tija na mapato.

VIFAA VYA KISASA VYATUA BANDARI YA DAR ▢️Mwekezaji bandari ya Dar ameanza kushusha vifaa ikiwemo mashine 8 za RTG, Mashine 19 za kushusha kontena na jenereta kubwa za kuendesha mashine hizo. ▢️Mama amefanikisha uwekezaji bandari ili kuongeza tija na mapato. #MamaYukoKazini
account_circle
HappieπŸ’•(@Happie_Thom) 's Twitter Profile Photo

Serikali inaendelea kujenga barabara ya Tukuyu- Lwangwa kwa kiwango cha Lami, maboresho ya miundombinu katika kuimarisha shughuli za kiuchumi kwa wananchi.

Serikali inaendelea kujenga barabara ya Tukuyu- Lwangwa kwa kiwango cha Lami, maboresho ya miundombinu katika kuimarisha shughuli za kiuchumi kwa wananchi. #MamaYukoKazini
account_circle
#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

NUKUU YA LEO: β€œKila kitu unachokifanya, tambua kuwa kuna watu wanakiona hivyo fanya kwa moyo wako wote, kwa mapenzi yako yote na kwa akili yako yote uliyobarikiwa.” - Joyce Kiango

NUKUU YA LEO: β€œKila kitu unachokifanya, tambua kuwa kuna watu wanakiona hivyo fanya kwa moyo wako wote, kwa mapenzi yako yote na kwa akili yako yote uliyobarikiwa.” - Joyce Kiango
account_circle
Mama yuko Kazini(@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

πŒπ€πŒπ€ 𝐍𝐈 πŒπ“π„πŠπ„π‹π„π™π€π‰πˆ

Ilani ya CCM (2020-2025) inaelekeza kuimarishwa mashirika ya umma ili kuchochea maendeleo ya Taifa.

Hadi Machi 2024 taasisi na mashirika matatu yamefutwa na mengine 14 yameunganisha ili yajiendeshe kwa faida.

πŒπ€πŒπ€ 𝐍𝐈 πŒπ“π„πŠπ„π‹π„π™π€π‰πˆ Ilani ya CCM (2020-2025) inaelekeza kuimarishwa mashirika ya umma ili kuchochea maendeleo ya Taifa. Hadi Machi 2024 taasisi na mashirika matatu yamefutwa na mengine 14 yameunganisha ili yajiendeshe kwa faida. #MamaYukoKazini
account_circle
Gift Kimaro(@GiftKimaro7) 's Twitter Profile Photo

Ufungaji wa vifaa tiba katika hospitali ya wilaya ya Ilemela utawezesha huduma hizo kuanza kutolewa. Awali wananchi walikua wanatembea KM25 hadi KM30 kwa ajili ya kufata vipimo.

Ufungaji wa vifaa tiba katika hospitali ya wilaya ya Ilemela utawezesha huduma hizo kuanza kutolewa. Awali wananchi walikua wanatembea KM25 hadi KM30 kwa ajili ya kufata vipimo. #MamaYukoKazini
account_circle
Gift Kimaro(@GiftKimaro7) 's Twitter Profile Photo

Vijana wanaofanya miradi ya ufugaji wa samaki kwa kutumia teknologia ya vizimba vilivyokabidhiwa na Mh. Rais Samia Suluhu Hassan Januari 20, January 2024 mkoani Mwanza katika kila kizimba kimoja wanatarajia kupata mavuno kati ya shilingi milioni 28 hadi 30.

Vijana wanaofanya miradi ya ufugaji wa samaki kwa kutumia teknologia ya vizimba vilivyokabidhiwa na Mh. Rais Samia Suluhu Hassan Januari 20, January 2024 mkoani Mwanza katika kila kizimba kimoja wanatarajia kupata mavuno kati ya shilingi milioni 28 hadi 30. #MamaYukoKazini
account_circle
Daktari Wa Manesi πŸ’‰πŸ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Moja ya lengo kuu la Wizara ya Madini ni Kuongeza thamani ya wachimbaji madini kwa Kuhamasisha kwa vitendo shughuli za uongezaji thamani madini chini kwa kuwapatia vifaa wahitimu wa kozi mbalimbali za uongezaji thamani madini ili waweze kuendeleza ujuzi na kujiajiri ikiwa ni njia…

Moja ya lengo kuu la Wizara ya Madini ni Kuongeza thamani ya wachimbaji madini kwa Kuhamasisha kwa vitendo shughuli za uongezaji thamani madini chini kwa kuwapatia vifaa wahitimu wa kozi mbalimbali za uongezaji thamani madini ili waweze kuendeleza ujuzi na kujiajiri ikiwa ni njia…
account_circle
Neema Paul(@Bless_paula26) 's Twitter Profile Photo

Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari

Ufunguzi umefanyika kwa mbio zilizowahusisha wanahabari, wadau wa habari na raia

Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Ufunguzi umefanyika kwa mbio zilizowahusisha wanahabari, wadau wa habari na raia #WPFD2024
account_circle
DOCHA (@ALugandu) 's Twitter Profile Photo

Ufunguzi wa Siku ya Uhuru wa Habari Dodoma

Waandishi wa habari wakishiriki kwa mbio za ufunguzi lengo kuhamasisha uhuru wa habari

Ufunguzi wa Siku ya Uhuru wa Habari Dodoma Waandishi wa habari wakishiriki kwa mbio za ufunguzi lengo kuhamasisha uhuru wa habari #WPFD2024
account_circle
winharder_(@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Dodomaa

Ufunguzi wa Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari umefanyika leo kwa mbio zilizohusisha waandishi wa habari katika adhma ya kuhamasisha uhuru wa habari

Dodomaa Ufunguzi wa Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari umefanyika leo kwa mbio zilizohusisha waandishi wa habari katika adhma ya kuhamasisha uhuru wa habari #WPFD2024 #WomenInMediaTz
account_circle