Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (@gcla1895) 's Twitter Profile
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali

@gcla1895

The Government Chemist Laboratory Authority is the “Legal Referral Laboratory”. Established under the Government Chemist Laboratory Authority Act,No.8,2016.

ID: 1021391361927499776

linkhttps://www.gcla.go.tz calendar_today23-07-2018 13:47:31

739 Tweet

1,1K Followers

11 Following

Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (@gcla1895) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali Ofisi ya Kanda ya Kaskazini inaendelea na mafunzo ya siku tatu ya usimamizi salama wa kemikali kwa wadau wa kemikali yanayofanyika katika hoteli ya corrido spring, jijini Arusha.

Kituo cha Taifa cha Kudhibiti Matukio ya Sumu (NPCC),imefanya kikao na kuzungumza na Wakuu na Wasimamizi wa viwanda walivyoweza kuvitembelea wakati wa ziara ya wiki ya Kuzuia sumu ya madini ya Risasi Duniani iliyofanyika Novemba 11-14, 2025 mkoani Pwani.

Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali Ofisi ya Kanda ya Mashariki imekamilisha Mafunzo ya Mwaka ya Uimarishwaji kwa wasimamizi wa kemikali kwa wadau wa kemikali. yaliyofanyika kwa siku tatu kuanzia Desemba 1 hadi 3, 2025 kwenye ukumbi wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere Kibaha, Mkoani Pwani.

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Mh. Adam Malima amewakabidhi zawadi watumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali walioibuka washindi katika michuano ya SHIMMUTA 2025.Medali ya Dhahabu kwa Martha Msolla kwa kuwa mshindi wa kwanza mbio za mita 100 kwa wanawake wenye umri wa miaka 50.Kombe kwa Sholastica Hyera

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Mh. Adam Malima amewataka wakuu wa Taasisi za Umma,Mashirika ya Serikali na binafsi kuendelea kuenzi shughuli za Michezo kwani zinaongeza tija kubwa katika uzalishaji. Mh. Malima amesema hayo wakati akifunga mashindano ya SHIMMUTA Morogoro,Desemba 6,2025.

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Mh. Adam Malima amewataka wakuu wa Taasisi za Umma,Mashirika ya Serikali na binafsi kuendelea kuenzi shughuli za Michezo kwani zinaongeza tija kubwa katika uzalishaji.
Mh. Malima amesema hayo wakati akifunga mashindano ya SHIMMUTA Morogoro,Desemba 6,2025.
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (@gcla1895) 's Twitter Profile Photo

Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko na baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali wametembelea eneo la ujenzi wa ofisi za Kanda ya Mashariki, Dar es Salaam kuona maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo na kupata maelezo kutoka kwa wakandarasi wa CRJE (East Africa) ltd

📌 *MAMLAKA YANG’ARA TUZO ZA UBUNIFU KATIKA SEKTA YA UMMA 2025* Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imeibuka mshindi wa *Tuzo ya Ubunifu katika Sekta ya Umma,* ijulikanayo kama *"The Outstanding Regulatory Compliance and Safety in Chemical Management Award 2025"*

📌 *MAMLAKA YANG’ARA TUZO ZA UBUNIFU KATIKA SEKTA YA UMMA 2025*
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imeibuka mshindi wa *Tuzo ya Ubunifu katika Sekta ya Umma,* ijulikanayo kama *"The Outstanding Regulatory Compliance and Safety in Chemical Management Award 2025"*
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (@gcla1895) 's Twitter Profile Photo

Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali wamefanya ziara ya kutembelea eneo la ujenzi wa mradi wa jengo la Ofisi ya Kanda ya Mashariki ambalo linaendelea kujengwa jijini Dar es Salaam, Desemba 18, 2025.

Kanda ya Mashariki imefanya mafunzo ya usafirishaji salama wa kemikali kwa madereva wanaosafirisha kemikali. Mafunzo hayo yamefanyika Kwa siku mbili katika Ofisi za Kanda ya Mashariki jijini Dar es Salaam, Desemba 17-18, 2025.

Kanda ya Mashariki imetoa mafunzo ya usafirishaji salama wa kemikali kwa Madereva wanaosafirisha Kemikali. Mafunzo hayo yamefanyika katika Ukumbi wa NGS Investment Co.Ltd- Kurasini, Dar es Salaam,Desemba 24, 2025.

Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) kupitia Ofisi ya Kanda ya Mashariki imetoa mafunzo ya usafirishaji salama wa kemikali kwa Madereva wanaosafirisha Kemikali, mafunzo hayo yamefanyika katika Ukumbi wa jengo la Ushirika jijini Dar es Salaam

Wataalam wa Maabara kutoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali wamepata mafunzo ya Utekelezaji wa Mifumo ya Ubora ya Maabara (ISO/IEC 17025:2017) yanayoendelea kufanyika katika Chuo cha Ustawi wa Jamii,Dar es Salaam kuanzia Januari 5 - 9, 2026.Lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo wataalam hao.

Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kupitia Ofisi ya Kanda ya Ziwa imetoa mafunzo ya matumizi salama ya kemikali kwa wajasiriamali wadogo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa TMDA jijini Mwanza Januari 12, 2026. Zaidi ya wajasiriamali 80 wameshiriki mafunzo hayo ya matumizi salama ya kemikali.

Watumishi wa Ofisi ya Kanda ya Mashariki wamepata Mafunzo ya Zimamoto na Uokoaji kutoka Jeshi la Zimamoto na Ukoaji Tanzania,mafunzo hayo yamelenga kuwapa ujuzi wa kujikinga na majanga ya moto inapotokea.Mafunzo yamefanyika katika Ofisi za Mkemia, Dar es Salaam, Januari 12, 2026.