@Myahudi wa 3🦂
@gabrielmk_3
Dee plat designer
ID: 1459867213935095812
http://www.officialgabriel3.com 14-11-2021 12:54:26
2,2K Tweet
1,1K Followers
1,1K Following
"Leo nimeona vijana mtandaoni, wanasema Nyerere angekuwepo Mbogamboga wangemteka,,... mimi nafikiri ni kweli wangemteka kwa sababu alikuwa na nafsi huru, alielezea mawazo yake kwa uhuru"-Tito Magoti #DearNyerere
Bless his heart Tundu Antiphas Lissu angekuwa huru angeendesha juhudi za kumpata Polepole CCM wenzake kimyaaa Wapenda haki hatubagui inapokuja kupigania haki ya kuishi ya mtu #FreePolepole
"Kuanzia sasa ninakaa gerezani kwa sababu ya uchaguzi tu, kesi imekwishaaa" Mhe. Tundu Antiphas Lissu #NoReformsNoElection #FREELISSU #FREEHECHE