Geophrey Tenganamba Keyness (@gkeyness) 's Twitter Profile
Geophrey Tenganamba Keyness

@gkeyness

| Solving Africa Real Problems by Digitalizing agriculture @MazaoHub

ID: 985781248810520576

linkhttps://mazaohub.com/ calendar_today16-04-2018 07:25:39

8,8K Tweet

1,1K Takipçi

886 Takip Edilen

Geophrey Tenganamba Keyness (@gkeyness) 's Twitter Profile Photo

Uaminifu kwanza, Undungu kwanza, Ukaribu kwanza, Tengeneza jamii ya wakulima wenye mshikamano kwanza na utu kwanza. Kisha tekinolojia inafuata kurahisisha kazi yako. Mimi ni Wewe. Wewe ni Mimi!

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

As we look back on our recent yeam building program in Zanzibar, we’re filled with gratitude and reflection. This journey brought our team closer together, strengthening the bond between those who work on the technology side and those who engage directly with our farmers. Our

As we look back on our recent yeam building program in Zanzibar, we’re filled with gratitude and reflection. This journey brought our team closer together, strengthening the bond between those who work on the technology side and those who engage directly with our farmers.

Our
MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

🚀 Je unajua kuwa kila hatua unayochukua inaweza kuleta mabadiliko makubwa? MazaoHub tunakuletea suluhisho bora zaidi linalorahisisha kazi, kuongeza ufanisi, na kuwawezesha wakulima na wauzaji wa pembejeo kote Tanzania. 🌱 Kitu kizuri kinakuja kaa tayari. #MazaoHub

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

Zanzibar gave us a reminder we all needed. Team work fuels clarity, connection, and growth. Every game, every laugh, every moment strengthened who we are as MazaoHub. Thank you for being part of this journey. #TeamMazaoHub #ForwardTogether #StrongerTogether #MazaoHubJourney

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

Hivi unajua kuwa teknolojia inaweza kuleta maendeleo na faida katika mnyororo mzima wa thanani wa kilimo! MazaoHub Agclimate inakualika kwenye webinar ya kwanza ya utambulisho (Introduction Webinar) yenye theme: “Teknolojia Inayoongeza Faida na Kipato Katika Mnyororo Mzima wa

Geophrey Tenganamba Keyness (@gkeyness) 's Twitter Profile Photo

This is how we chose to close 2025 at @MazaoHub: not with noise… but with alignment. If I’m honest, 2024 was a year I was far from the team. I moved fast, carried a lot, and at some point I started feeling misaligned—like the vision was moving, but the human connection inside

This is how we chose to close 2025 at @MazaoHub: not with noise… but with alignment.

If I’m honest, 2024 was a year I was far from the team. I moved fast, carried a lot, and at some point I started feeling misaligned—like the vision was moving, but the human connection inside
MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

Mwaka huu hatukusema tu “teknolojia kwa wakulima” tulifanya kazi ilioenda kuonekana shambani. Mwaka 2025 tumezindua MazaoHub v2.0.2, toleo lililokuja kuoanisha Afisa Ugani na Mkulima, wauzaji wa pembejeo na wakulima, pamoja na distributors na agro-vets/agro-dealers ili huduma

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

Je unasumbuliwa na uratibu wa pembejeo, oda kuchelewa au kupoteza mauzo? Teknolojia sasa inarahisisha usambazaji wa pembejeo, inaongeza kipato na kuhakikisha huduma ya pembejeo inapatikana kwa wakati. 🌱 MazaoHub – Pembejeo Connect Suluhisho la kidijitali kwa Agrovets na

Je unasumbuliwa na uratibu wa pembejeo, oda kuchelewa au kupoteza mauzo?

Teknolojia sasa inarahisisha usambazaji wa pembejeo, inaongeza kipato na kuhakikisha huduma ya pembejeo inapatikana kwa wakati.

🌱 MazaoHub – Pembejeo Connect
Suluhisho la kidijitali kwa Agrovets na
MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

Afisa Ugani, ujuzi wako una thamani kuliko unavyodhani. Iwe uko serikalini, kwenye taasisi binafsi au unajitegemea changamoto si maarifa, ni mfumo wa kuwafikia na kuwasimamia wakulima kwa ufanisi. Hapo ndipo Dokta Kilimo — Uber for Extension ndani ya MazaoHub inaingia. Ni

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

Tuko tayari na tunawakaribisha. Team ya MazaoHub tayari imewasili Ukumbi wa MAKUTI, Bariadi Mjini kwa ajili ya Workshop ya Dokta Kilimo na milango iko wazi. Tunawakaribisha Maafisa Ugani na washiriki wote kutoka Dutwa, Ramadi, Busega, Meatu, pamoja na Bariadi mjini na vijijini.

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

Asanteni sana Simiyu. 🙏🌱 Ushiriki wenu, maswali yenu, na hamasa yenu vimethibitisha kuwa ugani wa kisasa una nafasi kubwa ya kubadilisha maisha ya wakulima na Maafisa Ugani. MazaoHub inajivunia kuwa sehemu ya safari yenu ya ugani wa kisasa na fursa mpya za kipato. 🚀📲

Asanteni sana Simiyu. 🙏🌱

Ushiriki wenu, maswali yenu, na hamasa yenu vimethibitisha kuwa ugani wa kisasa una nafasi kubwa ya kubadilisha maisha ya wakulima na Maafisa Ugani.

MazaoHub inajivunia kuwa sehemu ya safari yenu ya ugani wa kisasa na fursa mpya za kipato. 🚀📲
MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

Wakulima, Agrovets na Afisa Ugani, sasa hakuna tena shida ya kupata bidhaa bora za kilimo🌱 Pembejeo bora za ByTrade sasa zinakufikia popote ulipo kupitia mfumo wa MazaoHub. Mkulima anapata pembejeo kwa urahisi. Agrovet anauza kwa faida zaidi. Afisa Ugani anageuza ujuzi na

MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

We are in Addis Ababa for the 2nd IFC FIG Africa Aqrifinance Client & Partner Event to push one clear message: African agriculture needs systems that work for farmers. IFC's agribusiness work continues to emphasize resilient inclusive, value-chain-driven solutions for

We are in Addis Ababa for the 2nd IFC FIG Africa Aqrifinance Client & Partner Event to push one clear message: African agriculture needs systems that work for farmers.

IFC's agribusiness work continues to emphasize resilient inclusive, value-chain-driven solutions for
MazaoHub (@mazaohub) 's Twitter Profile Photo

Tulimtembelea mkulima wetu shambani ili kufanya tathmini ya kina ya hali ya udongo na mazao yake. 🌱 Tulichukua sampuli za udongo, tukabaini mahitaji halisi ya shamba, na kumpa ushauri wa kitaalamu unaolenga kuongeza mavuno na kupunguza gharama za uzalishaji. “Kwa muda mfupi