FREEVOICE MEDIA(@FvoiceMedia) 's Twitter Profileg
FREEVOICE MEDIA

@FvoiceMedia

ID:1399068482759761922

calendar_today30-05-2021 18:21:54

28,6K Tweets

13,3K Followers

2,7K Following

FREEVOICE MEDIA(@FvoiceMedia) 's Twitter Profile Photo

Wakati wa maandamano na mkutano tarehe 30/04/2024 Moshi, viongozi wa Chadema wakiongozwa na Freeman Mbowe walishangaza wengi kwa kukosa kugomea Mailisita ambapo walijiandaa kwa ajili yake kama sehemu ya ratiba kwa kisingizio cha idadi ndogo ya watu.

account_circle
FREEVOICE MEDIA(@FvoiceMedia) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ujenzi, Bashungwa ameamuru kukamatwa kwa Meneja wa CRSG katika ujenzi wa daraja la Mpiji kwa kuchelewa kuanza kazi na baada ya kubaini kuchelewesha miradi mingine pia. Daraja hilo linatazamiwa kuunganisha Dar es Salaam na Pwani, likitarajiwa kumaliza adha ya usafiri

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, awaondoa Watendaji wa TEMESA kwa kushindwa kusimamia huduma za vivuko. Ametoa maagizo hayo baada ya kuzuru eneo la Magogoni - Kigamboni na kubaini mapungufu na ubovu wa vifaa na majengo na mfumo wa malipo akiagiza maboresho ya haraka.

Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, amesisitiza uhuru wa Mahakama na majaji katika kutoa haki. Akisema hakuna anayeweza kuingilia maamuzi ya mahakama. Kusudio la Jaji Mkuu kuhimiza watu kutotumia njia zisizo rasmi kuchafua, bali kutumia utaratibu wa kisheria katika kudai haki.

account_circle
FREEVOICE MEDIA(@FvoiceMedia) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo, amewahimiza vijana wa CCM kujenga uwezo wao katika uongozi, siasa, jamii na kiuchumi. Ameonyesha umuhimu wa vijana kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024, wakizisaka kura na kuunga mkono wagombea kuendelea kushika dola.

VIDEO: Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo, Amelenga kuhimiza vijana kutumia fursa za maendeleo na kutekeleza majukumu yao kikamilifu, akisisitiza kwamba ofisi yake itakuwa mahali pa kazi na siyo kwa maneno maneno, fitina na umbeya.

account_circle
FREEVOICE MEDIA(@FvoiceMedia) 's Twitter Profile Photo

“Ikome na ifike mwisho na njia ya kukomesha ni sasa, kila mtu apigane kwa silaa yake.” Shaban Matwebe, Mwenyekiti wa JUMIKITA, amelaani vitendo vya udhalilishaji na matusi mitandaoni ametoa wito kwa umma kuungana pamoja kudumisha heshima na nidhamu kwa viongozi na kwa taifa.

account_circle
FREEVOICE MEDIA(@FvoiceMedia) 's Twitter Profile Photo

Wageni 10 kutoka kampuni ya utalii ya Oman, Dream Team Explorers, wamewasili Tanzania kwa mafunzo ya kutembelea na kutangaza vivutio vya utalii mikoa ya kusini. Ziara hii, iliyosimamiwa na Bodi ya Utalii Tanzania kwa lengo kukuza ushirikiano kati ya Tanzania na nchi za Kiarabu.

Mwenyekiti wa JUMIKITA, Shabani Matwebe, amezitaka Jumuiya, wanaharakati wa Masuala ya Jinsia, na wadau wengine wa kisiasa na jamii kujitokeza kwa nguvu kukemea matusi na udhalilishaji dhidi ya Rais Samia.

account_circle
FREEVOICE MEDIA(@FvoiceMedia) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa msaada kwa wagonjwa wa saratani katika Taasisi ya Saratani CCBRT na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana. Mha. Ramadhani Mtindasi, amesema msaada huo unalenga kuwasaidia wagonjwa kukidhi gharama za matibabu yao.

Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wakiongozwa na Mwenyekiti Mohammed Kawaida wamewasili Rufiji mkoani Pwani kutoa faraja kwa wananachi waliopata athari za Mafuriko na kuwasilisha mchango wao wa msaada wa chakula ikiwemo Mchele, Mafuta na Sukari

Mbunge wa Jimbo la kibiti Mhe. Twaha Mpembenwe anaendelea na ziara ya kuwafariji kwa wakazi wa Kibiti ambao wameathiriwa na Mafuriko ya maji yanayotiririka kutoka vyanzo mbalimbali vya mto Rufiji, kutokana na mvua nyingi zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini.

Mhandisi Victor Seff, Mtendaji Mkuu wa wa TARURA amemtaka Mkandarasi CHICO kuongeza kasi ya ujenzi wa barabara za lami za Mtili-Ifwagi, Wenda-Mgama mkoani Iringa chini ya mradi wa RISE. Kwenye ziara ya ukaguzi, amesisitiza mkandarasi huyo kutimiza mkataba wake kama ulivyopangwa.

UVCCM KUWAFARIJI RUFIJI NA KIBITI.

UVCCM yatoa misaada ya kibinadamu kwa wananchi wa Rufiji na Kibiti baada ya kadhia iliyowakumba, ikilenga kuwafariji na kusaidia katika kipindi cha changamoto. Watanzania watakiwa kuwa sehemu ya kuungana na kusaidia katika majanga na matatizo.

account_circle
FREEVOICE MEDIA(@FvoiceMedia) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ametoa agizo la kuondolewa kwa wataalam wanaosimamia ujenzi wa Barabara ya Kibaoni - Sitalike mkoani Katavi, Waziri amekagua mradi na kuukuta kusuasua na utekelezaji wake kuwa nyuma kwa 23.7%. Aidha amebaini ubovu wa mitambo ya Mkandarasi.

Serikali ya Awamu ya 6 inaendelea na miradi ya kupunguza msongamano wa magari katika Miji na Majiji, ikiwa ni ujenzi wa barabara za juu (Fly Overs) na miundombinu ya Mabasi yaendayo haraka(BRT). Waziri Bashungwa ameeleza mipango hiyo ya mafanikio ya sekta ya ujenzi jijini Dodoma.

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, aelezea mafanikio ya sekta ya ujenzi katika miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia, Tanzania imekamilisha madaraja 8 makubwa, ikiwa ni pamoja na Daraja la Wami, Tanzanite, Gerezani, Mpwapwa, Kiegeya, Ruhuhu, Kitengule, na Daraja la Msingi.

Mtendaji Mkuu wa TARURA, Mha. Victor Seff, ahimiza asilimia 85 ya barabara zote nchini zipitike ifikapo 2025/2026, ili kuinua uchumi na kuwezesha huduma za kijamii kwa wananchi wote. Hayo yameadhimiwa katika ufunguzi wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa TARURA mkoani Morogoro.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aeleza kuwa serikali imekusanya Trilioni 17.1, ni sawa na 95.9%, ikilinganishwa na lengo la Trilioni 17.9. Majaliwa amewataka wananchi wanapofanya manunuzi au huduma kutoa au kudai risiti za kielektroniki katika kuokoa opotevu wa mapato ya serikali.

Waziri Bashungwa asema Wizara ya Ujenzi itafanya matengenezo makubwa ya barabara korofi na kukamilisha miradi ya kimkakati katika miji kama Dodoma, Mwanza na Arusha. Rais Samia ametoa Shilingi Bilioni 50 kwa ajili ya dharura na kuboresha barabara zilizoathiriwa na mvua.