Ngapulila!πŸ’Ž (@freedata462) 's Twitter Profile
Ngapulila!πŸ’Ž

@freedata462

Saa Ya Ukombozi Ni Sasa!...
#mtanganyika!

Huenda Shetani Sio Mbaya Kama Tunavyomfikiria!. Tunamjua Kupitia Mafundisho Ya Upande Mmoja. #hatujamsikiliza

ID: 1309456027390218245

calendar_today25-09-2020 11:33:50

30,30K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Mjahid Mjahid (@mjahidmjahid80) 's Twitter Profile Photo

Vunga wewe ulitakaje, kwani uliambiwa uwamini! Acha ushamba hukuambia uwamini ili ukuseidieje wewe. We amini mafwele ni muwaji samia kauwa watanganyika terehe 29 0ct 2025 tu kujipa uongozi usio wa haki.

Mjahid Mjahid (@mjahidmjahid80) 's Twitter Profile Photo

Mtaelewa tu tulieni ivo ivo. Mlizani kuwauwa wananchi 29 0ct 2025 mkaendelea kuishi mnavotaka nyinyi polisi na kuendelea kuwalinda magaidi wenzenu ccm. Sasa kaeni kwa kutulia tutamchomoa moja moja mpaka wewe msema wa piliccm dawa yako imeiva. Nchi hii kwa sasa uwasi hauwepukiki

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 222 Katuga anasema kifungu cha 308 ni mlinzi wa kifungu cha 263 cha CPA ni kumfanya mshitakiwa awe aware na ushahidi wote anaokutana nao Mahakama kuu. Ushahidi upo wa aina nne, real, documentary, testimonial na nyingine nimesahau nitaikumbuka.

Ngapulila!πŸ’Ž (@freedata462) 's Twitter Profile Photo

Duda Ni Bingwa.. Na Yeye Anajua Sheria Kuliko Kila Mtu Hapo Na Ndio Maana Mawakili Wa Selikali NI Kama Wote Vs Lissu Mmoja Tu.

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo February 24, 2026 Last time tuliishia Part 222 so leo tunaendelea na-; Part 223 Majaji wameingia na Mshitakiwa pia ameingia. Karani anasoma shauri hapa. Anasimama Renatus Mkude anasema yupo na Ajuaye, Katuga, Thawabu, Cathbert Mbiringe.

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KUTOKA_MAHAKAMA_KUU Muda huu ni saa sita nayo dakika 17 kesi ya mchongo ya uhaini dhidi ya Mhe. Lissu bado haijaanza na Mawakili wa Serikali hawaonekani. Tetesi kutoka kwa msiri wetu zinasema wanapigiwa simu hawapokei na wengine wamezima simu. Mawakili wa Serikali

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

JAMBO LA KUSHANGAZA MAHAKAMANI. Muda huu wameingia wasaidizi na walinzi wa Majaji wamechukua Computer na vifaa vya Mahakama wameondoka navyo. Inaonekana muda huu kesi haiwezi kuendelea maana wanaondoa kila kitu Mahakamani. Taarifa tuliyonayo Mawakili wa Serikali

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KUTOKA_MAHAKAMA_KUU Majira ya saa nane kasoro tano, wameingia Mawakili wengine wa Serikali. Ananitonya Wakili mmoja hapa kwamba amechungulia nyaraka aliyonayo Renatus Mkude ni Notice of Motion kwenda Mahakama ya Rufani nafikiri wanaenda kufanya Revision ya uamuzi

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 224 Majaji wameingia muda huu saa nane Kamili Mchana. Wanaandika pale juu. Mheshimiwa Lissu ameingia na kuteta jambo na Dr. Nshala tunamsikia anasema waende kokote watakapotaka kwenda tutakutana nao huko. Sasa sijui ni wapi anamaanisha.

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 225 Mhe. Lissu anaendelea hapa. Kama mtakumbuka nilisema ninavyoishi Ukonga, siruhusiwi kuonana na Mawakili wangu in private. Mnaruhusiwa kutembelea Magereza naomba mliangalie na hili kama itawapendeza inawapa Mamlaka ya kutoa mapendekezo na