Francis Mhiche (@francismhiche) 's Twitter Profile
Francis Mhiche

@francismhiche

Sport Jounalists and Analytics.
||Manager at #MuchknowTv
||Sb classic outfits & jersey's CEO
|Isaya 60:11 (Biblia Takatifu)

ID: 1521943935874121734

calendar_today04-05-2022 20:05:24

6,6K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

Francis Mhiche (@francismhiche) 's Twitter Profile Photo

“Kwa sababu hiyo ninyi nanyi jiwekeni tayari; kwa kuwa katika saa msiyodhani Mwana wa Adamu yuaja. ” — Mathayo 24:44 (Biblia Takatifu)

Francis Mhiche (@francismhiche) 's Twitter Profile Photo

“Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa. ” — Yakobo 1:27 (Biblia Takatifu)

Kabla ujarud kwa Ex wako soma huu mstari hapa; Mithali 26:11 " Kama vile mbwa arudiavyo matapiko yake; Kadhalika mpumbavu afanya upumbavu tena".

Francis Mhiche (@francismhiche) 's Twitter Profile Photo

“Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa. ” — Yakobo 1:27 (Biblia Takatifu)

“Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
”
  — Yakobo 1:27 (Biblia Takatifu)
Francis Mhiche (@francismhiche) 's Twitter Profile Photo

“Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo. ” — Mhubiri 12:1 (Biblia Takatifu)

“Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo.
”
  — Mhubiri 12:1 (Biblia Takatifu)
Francis Mhiche (@francismhiche) 's Twitter Profile Photo

“Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi. ” — Mithali 25:24 (Biblia Takatifu)

Francis Mhiche (@francismhiche) 's Twitter Profile Photo

“Enenda pamoja na wenye hekima, nawe utakuwa na hekima; Bali rafiki wa wapumbavu ataumia. ” — Mithali 13:20 (Biblia Takatifu)

Francis Mhiche (@francismhiche) 's Twitter Profile Photo

“nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka; ” — Mwanzo 12:2 (Biblia Takatifu)

Francis Mhiche (@francismhiche) 's Twitter Profile Photo

“Na ufunguo wa nyumba ya Daudi nitauweka begani mwake; yeye atafungua wala hapana atakayefunga; naye atafunga wala hapana atakayefungua. ” — Isaya 22:22 (Biblia Takatifu)