Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile
Boniface Jacob

@exmayorubungo

Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020
Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov,
Ubungo councilor 2010-2020
BA.Ed UDSM
CHADEMA CC MEMBER

ID: 1370193468

calendar_today21-04-2013 18:11:50

17,17K Tweet

562,562K Followers

8,8K Following

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Ndugu Kondoo wenzangu...! Jeshi lenu imara bado linaendelea kumtafuta Kondoo mwenzetu mpendwa na wanyama wote waliohusika kumjeruhi kisha kumchukua akiwa zizini kwake jana usiku. Kondoo yeyote mwenye taarifa juu alipo kondoo mwenzetu au za wanyama walio mteka jana usiku walete

Ndugu Kondoo wenzangu...!

Jeshi lenu imara bado linaendelea kumtafuta Kondoo mwenzetu mpendwa na wanyama wote  waliohusika kumjeruhi kisha kumchukua akiwa zizini kwake jana usiku.

Kondoo yeyote mwenye taarifa juu alipo kondoo mwenzetu au za wanyama walio mteka jana usiku walete
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Nchini Kenya kupitia Bunge la 12 mwaka 2021 lilifanya uchunguzi kuhusu tuhuma za vyombo vya dola kuhusika katika Kuteka,Kupoteza na Kuua raia. Kamati ya Bunge ya Katiba,Sheria na Haki za Binadamu chini ya Mwenyekiti wake Seneta Eric Okong'o walihoji baadhi ya watuhumiwa ndani

Nchini Kenya kupitia  Bunge la 12 mwaka 2021 lilifanya uchunguzi kuhusu tuhuma za vyombo vya dola kuhusika katika Kuteka,Kupoteza na Kuua raia.

Kamati ya Bunge ya Katiba,Sheria na Haki za Binadamu chini ya Mwenyekiti wake Seneta  Eric Okong'o walihoji baadhi ya watuhumiwa ndani
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Siasa na harakati imekuwa kazi ya hatari sana kwa wapinzani na wakosoaji serikali za Africa. Muda wowote ndugu zako wanaweza Kukutafuta wasikuone milele au wakaletewa mwili wauzike. Wapinzani wamekuwa wanawindwa roho zao kama majambazi,ukatili umekuwa ni malipo yao.

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Leo katika picha..! Kesi yetu inayotukabili mimi na MalisaGJ namba kesi namba 11805 ya mwaka 2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Mheshimiwa Hakimu Swalo Kesi imeshindwa kuendelea baada ya Serikali kupinga uamuzi wa Mahakama hiyo ya kutaka mashahidi watoe

Leo katika picha..!

Kesi yetu inayotukabili mimi na <a href="/MalisaGJ_/">MalisaGJ</a>  namba kesi namba 11805 ya mwaka 2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Mheshimiwa Hakimu Swalo

Kesi imeshindwa kuendelea baada ya Serikali kupinga uamuzi wa Mahakama hiyo ya kutaka mashahidi watoe
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Hellow Kisutu....! We are back. 1.Mahakama inapoenda kugeuka kuwa uwanja wa burudani na ulingo wa mpambano wa Kisheria. 2.Ghafla Kisutu inakuwa na mvuto kuliko Uwanja wa Benjamin Mkapa. 3.Madawati nadhifu ya chumba namba 1 ya Kisutu yanakuwa ya moto kama Jiko kukalia jiko

Hellow Kisutu....!  We are back.

1.Mahakama inapoenda kugeuka kuwa uwanja wa burudani na ulingo wa mpambano wa Kisheria.

2.Ghafla Kisutu inakuwa na mvuto kuliko Uwanja wa Benjamin Mkapa.

3.Madawati nadhifu ya chumba namba 1 ya Kisutu yanakuwa ya moto   kama Jiko kukalia jiko
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Sijua baada ya kile kama kingekuja hiki,na sijui baada ya hiki kitakuja kipi..! Ninachojua ni kitu kimoja tu. CHADEMA ni kama Meli ya Kigiriki,pamoja na Mawimbi mengi,makubwa na makali lakini CHOMBO kitavuka salama.!

Sijua baada ya kile kama kingekuja hiki,na sijui baada ya hiki kitakuja kipi..!

Ninachojua ni kitu kimoja tu.

CHADEMA ni kama Meli ya Kigiriki,pamoja na Mawimbi mengi,makubwa na makali lakini CHOMBO kitavuka salama.!
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

NI NANI KATUROGA...? Mnahangaikaje na mtu ambaye yupo bize na biashara zake binafsi kwa 99%. Kumzushia uongo, kumdhihaki, kumtukana na kumdhalilisha ndiyo imekuwa β€˜fasheni’ mpya ya baadhi ya watu wakitaka waonekane wajuaji na wenye mapenzi na CHADEMA kuliko wengine. Huwezi

NI NANI KATUROGA...?

Mnahangaikaje na mtu ambaye yupo bize na biashara zake binafsi kwa 99%.

Kumzushia uongo, kumdhihaki, kumtukana na kumdhalilisha ndiyo imekuwa β€˜fasheni’ mpya ya baadhi ya watu wakitaka waonekane wajuaji na wenye mapenzi na CHADEMA kuliko wengine.

Huwezi
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

NAKULILIA RAFIKI YANGU MDUDE Ni siku takribani 8 tangu uvamiwe, utekwe, ujeruhiwe na kupotezwa ukiwa ndani ya nyumba yako kata ya Iwambi, Jijini Mbeya. Tukio lako limeacha maswali mengi bila majibu, simanzi kubwa kwa ndugu, Jamaa na familia yako. Nilichofanikiwa kujua hadi

NAKULILIA RAFIKI YANGU MDUDE

Ni siku takribani 8 tangu uvamiwe, utekwe, ujeruhiwe na kupotezwa ukiwa ndani ya nyumba yako kata ya Iwambi, Jijini Mbeya.

Tukio lako limeacha maswali mengi bila majibu, simanzi kubwa kwa ndugu, Jamaa na familia yako.

Nilichofanikiwa kujua hadi
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Leo tarehe 12 May 2025 viunga vya Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam nikiwa na Viongozi, na Wanachama wa CHADEMA ktk Kesi namba 8323 ya mwaka 2025 ya Said Issa Mohammed na wenzie watatu dhidi ya CHADEMA na Katibu Mkuu kuhusu mgawanyo wa mali. Said Issa Mohammed na wenzie

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

MUDA WA KAMPENI HUUπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wahuni wamemtegeshea chuma tupu,Mheshimiwa Mbunge akawa ana pump hewa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Walipo kuja Kuondoa chuma cha kupamp bomba wakakuta chini hakuna kisima wala nini..! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Vinaitwa Visima vya mwendo kasi. Nasikitika ndoto zake za Ubunge zilifutika

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

JOKA LA KAKI. (Fasihi) Msanii wa sanaa ya uchoraji wa picha fikirishi Masoud Kipanya ametupa jiwe la fikra kwenye bongo za wanafasihi,kila mwenye kutazama apate tafsiri kwa kadiri ya uwezo wa ubongo wake. Mwalimu Boniface Jacob nimetafsiri hivi; 1.Joka la Kaki - hiki ni chama

JOKA LA KAKI.
(Fasihi)

Msanii wa sanaa ya uchoraji wa picha fikirishi Masoud Kipanya ametupa jiwe la fikra kwenye bongo za wanafasihi,kila mwenye kutazama apate tafsiri kwa kadiri ya uwezo wa ubongo wake.

Mwalimu Boniface Jacob nimetafsiri hivi;

1.Joka la Kaki - hiki ni chama
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

KAMPENI ZA MWENDOKASI πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo akizindua kivuko cha Mto Rajabu kilichopo kata ya Sakina Jimbo la Arusha mjini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Wameona aibu kutaja bei lakini mimi taarifa zangu za ndaaaaaaaaani kabisa zinasema Kimejengwa kwa Millioni 28 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

KAMPENI ZA MWENDOKASI πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo akizindua kivuko cha Mto Rajabu kilichopo kata ya Sakina Jimbo la Arusha mjini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Wameona aibu kutaja bei lakini mimi taarifa zangu za ndaaaaaaaaani kabisa zinasema Kimejengwa kwa Millioni 28 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚