
TECMN Tanzania
@endcefm
TECMN is a network of 87 members dedicated to end child marriages in Tanzania. [email protected] | +255 743 902 858
ID: 765473931558064129
https://www.girlsnotbrides.es/articul-a-co-created-civil-society-strategy-to-end-child-marriage 16-08-2016 09:03:02
1,1K Tweet
4,4K Followers
302 Following

‘’Kukomesha ndoa za utotoni kunahitaji uchechemuzi imara, ushirikiano wa kimkakati na dhamira isiyoyumba. Hebu tugeuze maneno yetu kuwa vitendo’’ Amina Mtengeti MyLEGACY ORG TZ #SautiMoja #EndChildMarriage #TokomezaNdoaZaUtotoni




''Watoto ni watoto, SI BIBI HARUSI. Sema HAPANA kwa NDOA ZA UTOTONI'' Barnabas Kaniki Save the Children Tanzania #SautiMoja #EndChildMarriage #TokomezaNdoaZaUtotoni








Kwa nini tunataka marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971? Kufanya marekebisho kwa Sheria ya Ndoa, hususan vifungu vya 13 na 17, ni hatua muhimu kwa Tanzania kulinda haki za watoto na kuhakikisha usawa wa kijinsia. #ZamuYaWabunge #TokomezaNdoaZaUtotoni Girls Not Brides


Wiki iliyopita, Mtandao wa Kutokomeza Ndoa za Utotoni Tanzania tulianza safari ya kuunda mpango mkakati wa mawasiliano na uchechemuzi. Mpango huu utaongeza ufanisi wa mtandao katika kutokomeza ndoa za utotoni. Asante ITVTanzania #TokomezaNdoaZaUtotoni #SautiMoja

Mfahamu Juliana: Binti anayepambana kwa ujasiri kurejesha elimu yake iliyoporwa na ujauzito. 💔Hadithi yake inaangazia ukweli mchungu unaowakumba waliojifungua katika umri mdogo na ahadi zilizovunjwa Hii ni hadithi ambayo wengi hawajasimuliwa. #ElimuNiHaki Girls Not Brides

