#ElimikaWikiendi
@elimikawikiendi
We're #ElimikaWikiendi, a youth-led NGO and your go-to platform for education, advocacy, and storytelling. By the youth, for the youth.
ID: 701453045880717312
http://elimikawikiendi.org 21-02-2016 17:06:53
140,140K Tweet
76,76K Followers
501 Following
Warsha ya #NIKONEKT #ElimikaWikiendi na bestie GetrudeM Natokaje Kidigitali🪄 CaliberEvents 📍
kukuza chapa yako binafsi "Personal branding" kuna aina mbili unaweza ukakua vizuri na wakati mwingine mitandao inaweza kukuhukumu kutokana na wewe ulivyojiweka - | Sylvia M. Mkomwa #NIKONEKT
"Kutengeneza chapa binafsi kunaanza na wewe unataka nini na wateja wako wanakuwa sehemu ipi kwenye chapa yako" | Sylvia M. Mkomwa #NIKONEKT
"Ni lazima kijana ujiweka katika hali ya nzuri itakayo kubeba na kukupatia fursa" | Sylvia M. Mkomwa #NIKONEKT
Mitandao ya kijamii kwa mara ya kwanza ilikuwa haijali sana uhalisia lakini kwa sasa hali imebadilika ni lazima mjasiriamali kuweka uhalisia hii itakusaidia kuongeza uaminifu na biashara yako kununulika | Queen of Automationtz #NIKONEKT
"Kwa mfanyabiashara/mjasiriamali ni muhimu sana kuelimisha wateja juu ya bidhaa yao husika hii itapelekea watu kushawishika kununua biashara yako" | Queen of Automationtz #NIKONEKT
"Mjasiriamali pia unapaswa kuonesha namna bidhaa yako ilivyowanufaisha wateja wako hii inavuta wateja wengi zaidi na kuonesha uhalisia" | Queen of Automationtz #NIKONEKT
#NIKONEKT ina malengo 2 1. Kuwaunganisha vijana kwa kuwapa maarifa, ujuzi na kuwapati taarifa za soko la ajira. 2. kuwaunganisha wajasiriamali na kuwajengea ujuzi na uwezo wa kutumia mifumo ya kidigiti ili wakuze baishara zao Mkurugenzi wa Elimika Wikiendi James Massawe
Fursa za kimataifa kwa vijana ni lazima uombe na unaziomba kupitia mitandao, cha muhimu uoneshe una vigezo - Sylvia M. Mkomwa #NIKONEKT
Mwana-TOTTechs kwenye warsha ya #NIKONEKT iliyoandaliwa na #ElimikaWikiendi “The Future of work in the Digital Age”
Kongole kwa vijana wote walioshiriki warsha ya #NIKONEKT tuliyoiandaa kwa kushirikiana na TAYOBECO Tanzania Elimika Wikiendi itaendelea kuandaa majukwaa haya ya kuwajengea vijana ujuzi na maarifa ya karne ya 21.