Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile
Son of God

@eliabudanford

Born of God, New creation, Eternal Life, Master builder, Springs of wisdom, Investor in Real estate & Technology.

ID: 1137269490306179074

calendar_today08-06-2019 08:05:50

38,38K Tweet

3,3K Followers

861 Following

Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile Photo

Hatua ya kwanza ya project yangu ilihitaji milioni 10 wakati Mungu kaniambia acha kazi zote, jiandae na huduma, kwa hiyo nilikuwa sina kazi yoyote. Nikiwa kwenye maombi nilimuuliza Mungu natoa wapi hela??. Kumbuka aliniambia usiangalie mazingira/uchumi wa nchi niangalie mimi.

Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile Photo

Niliendelea kutoa sadaka ile niliyoelekezwa kuanzia mwezi wa pili mpaka mwezi wa saba, Mungu alikuwa ameniambia huwezi kuvuna usipopanda. Kwa hiyo nikawa napanda mbegu kila mara. Hapa ndipo nilipata kufahamu sadaka kama mbegu. Sikuona dalili yoyote ya kujibiwa mpaka mwezi wa 9

Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile Photo

Mwanzo wa huu mradi sikuwashirikisha watu wengi(watano tu) kama sijasahau. Lengo langu ni kumjaribu Mungu. Nilitaka kuona nguvu ya Mungu kwenye kusababisha fedha. Kama alimpa neema Musa mbele ya wa-Misri wakawapa Israeli kila kitu fedha, dhahabu vyombo na wanyama,nilitaka kuona.

Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile Photo

Kama ningekua nafanya kazi sehemu ningesema labda hela nimepata kwa sababu ya mshahara au malipo kutokana na kazi fulani ila nilikuwa nimeacha kila kitu Mungu aliharibu kila kitu wakati nagoma kwenda kumtumikia. Nilikuwa sifanyi kazi yoyote bali kuomba na kufunga tu.

Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile Photo

Sina Kanisa sina washirika ndugu walinikataa baada ya kuachana na mambo kazi hakuna mtu anaweza kukupa milioni 10 bila mkono wa Mungu. Nilinunua materials hela ikaisha kwa sababu project ina awamu tatu za ujenzi. Awamu ya kwanza haikuisha nikarudi kwenye maombi kuuliza mabati.

Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile Photo

Muujiza wa pili mafundi waliokuja kupiga bati na kuweka kenchi walitaka hela ndefu kidogo [kwa size yangu] ila walipokuta hii project ni kwa ajili ya Mungu, waliniambia tutafanya kazi yote bure, wewe utatupatia hela ya maji tu. Nakummbuka nilizowapa hata 500,000 haikufika.