black label πŸ’‰ (@eduu_mn_08) 's Twitter Profile
black label πŸ’‰

@eduu_mn_08

fun facts

ID: 1611262348899061760

calendar_today06-01-2023 07:24:31

757 Tweet

85 Followers

74 Following

Mercy Nicky (@mercynicky_) 's Twitter Profile Photo

Mimi huku after mtu aliniambia sina aibu natembea na kamatako ka mtoto wa class 5 at my age, sijawahi recover, huwa sitaki maneno mingi😭😭😭🀣🀣🀣🀣🀣🀣

black label πŸ’‰ (@eduu_mn_08) 's Twitter Profile Photo

Huko fb unaenda kufanya illegal lucrative business unapatana na mzungu anaongea kikaleπŸ˜‚πŸ˜‚ that community should be banned from accessing social mediaπŸ’€πŸ’€

black label πŸ’‰ (@eduu_mn_08) 's Twitter Profile Photo

Naona course mates wamegeuka motivational speakers kwa status after mzazi ameacha kutuma child supportπŸ˜‚πŸ˜‚ usiwai maliza shule

black label πŸ’‰ (@eduu_mn_08) 's Twitter Profile Photo

Her: (puts phone on do not disturb) Me: mbona umeeka do not disturb Her: staki kusumbuliwa tukiwa pamoja My mind: uskii uyu n hoe πŸ’”