Eddo (@eddo142) 's Twitter Profile
Eddo

@eddo142

#Justsmile /
once i was a superstar😎/ King of Toronto Tabora 1800's

ID: 1355583647231959043

calendar_today30-01-2021 18:28:42

190,190K Tweet

148,148K Takipçi

10,10K Takip Edilen

kamdudu (@_kamdudu) 's Twitter Profile Photo

ELIMU YA SAYANSI NA HESABU NI ELIMU NZURI SASA. Coordinate ni ELIMU inayomuwezesha msomaji wake kuweza kugundua na kujua mahali vitu vilipo(location of position) hata kama hajawahi kufika. Kwa mfano ukichukua karatasi nakukutanisha mistari minyoofu mingi ikakutana katika nyuzi

ELIMU YA SAYANSI NA HESABU NI ELIMU NZURI SASA.

Coordinate ni ELIMU inayomuwezesha msomaji wake kuweza kugundua na kujua mahali vitu vilipo(location of position) hata kama hajawahi kufika.

Kwa mfano ukichukua karatasi nakukutanisha mistari minyoofu mingi ikakutana katika nyuzi
KAJI. (@kajisijolfc) 's Twitter Profile Photo

Bros huyo mwanamke ulie nae mpende yeye kwanza usipende maumbile yake hapo hautamchoka Hayo maumbile hubadirika pindi akijifungua

Futbal Planet ✴️ (@planetfutbal) 's Twitter Profile Photo

BAADA ya Wana-Sayansi kukaa na kupima mwenendo wa Mzunguko wa Dunia kulizunguka jua. Wamegundua kasi ya dunia kulizunguka jua imeongezeka mara mbili zaidi na wakaenda mbali zaidi kwamba dunia inafanya hivyo ili siku zifike haraka kisha tumuone JEAN CHARLES AHOUA akiuamuru Mpira

BAADA ya Wana-Sayansi kukaa na kupima mwenendo wa Mzunguko wa Dunia kulizunguka jua.

Wamegundua kasi ya dunia kulizunguka jua imeongezeka mara mbili zaidi na wakaenda mbali zaidi kwamba dunia inafanya hivyo ili siku zifike haraka kisha tumuone JEAN CHARLES AHOUA akiuamuru Mpira
𝑀𝐴𝐿𝑈𝑀𝐸♘ (@_itsmalume) 's Twitter Profile Photo

Jana aliniaga anaenda kulala kwa dada yake leo karud siku nzima amelala nmeshika simu yake nakuta hizi text Nifanye nini wakuuu nisaidieni 😭🤦‍♂️

Jana aliniaga anaenda kulala kwa dada yake leo karud siku nzima amelala nmeshika simu yake nakuta hizi text
Nifanye nini wakuuu nisaidieni 😭🤦‍♂️
Iam Salum Ally (@iamsalumally) 's Twitter Profile Photo

RETWEET Oyaa..!! Wazee Wa Ma geme Chuma hiki hapa 👇🏽 Wireless Controller 🎮✅ Padi ya kuchezea Gem za Simu ✅ Inakaa na chaji kwa muda mrefu ✅ Bei ni 50k Namba za simu 0763300797 Full Video kwenye comment

RETWEET

Oyaa..!! Wazee Wa Ma geme Chuma hiki hapa 👇🏽 

Wireless Controller 🎮✅
Padi ya kuchezea Gem za Simu ✅
Inakaa na chaji kwa muda mrefu ✅

Bei ni 50k
Namba za simu 0763300797

Full Video kwenye comment
Eddo (@eddo142) 's Twitter Profile Photo

RETWEET Oyaa..!! Wazee Wa Ma geme Chuma hiki hapa 👇🏽 Wireless Controller 🎮✅ Padi ya kuchezea Gem za Simu ✅ Inakaa na chaji kwa muda mrefu ✅ Bei ni 50k Namba za simu 0763300797 Full Video 👇 Iam Salum Ally

Geeee❤️ (@kimsuretz) 's Twitter Profile Photo

Kuna Mkaka Ivii Huwa Ana comment kila nitakapopita atalike yaan sijui katurn on notification Sasa kaka njoo tulizana Nikupendae Mahiii love

Gudgud Informer (@gudgudcriwa) 's Twitter Profile Photo

𝗨𝗡𝗔𝗭𝗜𝗝𝗨𝗔 𝗡𝗬𝗜𝗠𝗕𝗢 𝗭𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗭𝗢 𝗭𝗔 𝗗𝗜𝗔𝗠𝗢𝗡𝗗? Siyo 𝗠𝗯𝗮𝗴𝗮𝗹𝗮, wala 𝗡𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗞𝗮𝗺𝘄𝗮𝗺𝗯𝗶𝗲! 𝗙𝘂𝗹𝗹 𝗺𝗶𝗰𝗵𝗮𝗻𝗼 𝗻𝗮 𝗪𝗮𝗸𝗮𝗹𝗶 𝘄𝗮 𝗛𝗜𝗣𝗛𝗢𝗣 𝗺𝗽𝗮𝗸𝗮 𝗔𝗱𝗮𝗺 𝗠𝗰𝗵𝗼𝗺𝘃𝘂 Kumbe Michezo ya Ku𝗖𝗼𝗽𝘆 alianza kitambo 😂 👇🏿👇🏿

𝗨𝗡𝗔𝗭𝗜𝗝𝗨𝗔 𝗡𝗬𝗜𝗠𝗕𝗢 𝗭𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗭𝗢 𝗭𝗔 𝗗𝗜𝗔𝗠𝗢𝗡𝗗?

Siyo 𝗠𝗯𝗮𝗴𝗮𝗹𝗮, wala 𝗡𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗞𝗮𝗺𝘄𝗮𝗺𝗯𝗶𝗲!

𝗙𝘂𝗹𝗹 𝗺𝗶𝗰𝗵𝗮𝗻𝗼 𝗻𝗮 𝗪𝗮𝗸𝗮𝗹𝗶 𝘄𝗮 𝗛𝗜𝗣𝗛𝗢𝗣 𝗺𝗽𝗮𝗸𝗮 𝗔𝗱𝗮𝗺 𝗠𝗰𝗵𝗼𝗺𝘃𝘂 

Kumbe Michezo ya Ku𝗖𝗼𝗽𝘆 alianza kitambo 😂

👇🏿👇🏿