
Tanzania ECD Network
@ecdnetwork
A National Umbrella Network advancing Early Childhood Development in Tanzania through advocacy, knowledge, and collaboration.
ID: 918347659
http://www.tecden.or.tz 01-11-2012 05:57:24
547 Tweet
977 Takipçi
3,3K Takip Edilen



We're excited to announce our new partnership with Echidna Giving! This three-year collaboration will strengthen TECDEN's impact in early childhood development across Tanzania. Stay tuned for more updates! #EarlyChildhoodDevelopment #Tanzania #Partnership #Sustainability



Kuwekeza katika maendeleo ya awali ya watoto ni msingi wa Tanzania imara na endelevu. Kongamano la #TMS 2025 litaunganisha wadau wote kuimarisha sera na mifumo ya malezi ya mtoto. Jiunge nasi kujenga mustakabali bora kwa watoto wetu. #WekezaKwaWatoto Dr. Dorothy Gwajima UNICEF Tanzania


Mchakato wa maandalizi ya mtoto utakao mwezesha mtoto kukua,kukubalika na kushiriki katika shughuli za kijamii na kiuchumii kutategemea aina ya malezi atakayo pewa mtoto. Kuelekea Kongamano kubwa la Malezi, cdo_mzumbe inaungana na Tanzania ECD Network kuwaalika wadau kushiriki #TMS2025.



Tanzania Malezi Summit 2025 ..."Malezi ni mtoto anapolelewa vizuri tunaandaa jamii iliyo bora kwa jili yetu si kwa kwa ajili ya mtu mwingine..." Dkt Doto Biteko Naibu Waziri Mkuu #MtotoNiMalezi #TMS2025 UNICEF Tanzania Dr. Dorothy Gwajima WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII The African Early Childhood Network Early Childhood Development Action Network (ECDAN)


🌍 As part of our continued efforts in #ECD coordination & advocacy, TECDEN proudly co-organized the Tanzania Malezi Summit 2025 WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII OFISI YA RAIS TAMISEMI uniting partners to call for greater investment in Early Childhood Development services across 🇹🇿. #InvestInECD #TMS2025


We continue to champion multi-sectoral collaboration for impactful change in #ECD. 🤝 At the Tanzania Malezi Summit 2025, we united through showcases, presentations & dialogue to call for more investment in ECD. Hilton Foundation UNICEF Tanzania #Malezi2025 #InvestInECD #ECDTanzania


Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko azindua kampeni ya kuhamasisha uanzishwaji wa vituo vya malezi ya awali ngazi ya jamii. Watoto milioni 9 (miaka 0–8) wapo nchini, lakini kuna vituo 206 pekee! Tuwekeze katika afya, elimu na ustawi wa mtoto kwa mustakabali bora wa taifa. The African Early Childhood Network


Kila dakika unayoongea, kucheza au kusikiliza mtoto wako ni uwekezaji mkubwa katika ubongo wake 🌱🧠. Muda wako ndio msaada bora zaidi kwa ukuaji wake wa kiakili, kihisia na kijamii. #TMS2025 #MaleziBora #MtotoNiMalezi Dr. Dorothy Gwajima @UNICEFT WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII HakiElimu The African Early Childhood Network


Tanzania Malezi Summit 2025 Mhe. Dkt Doto Biteko, Naibu Waziri Mkuu, amezindua Mwongozo wa Malezi kwa Muktadha wa Dini ya Kiislamu na Kikristo hatua ya kihistoria kwa ustawi wa mtoto! Mtoto aliyelelewa kwa misingi ya imani hujengwa kuwa raia bora! #MtotoKwanza Dr. Dorothy Gwajima

