Duro Crypto (@durocrypto1) 's Twitter Profile
Duro Crypto

@durocrypto1

Crypto Educator | Blockchain Simplifier | Bitcoin for All | Navigating Crypto Dips | Vision for 2025: Crypto as Easy as Banking

ID: 1621233917402513413

calendar_today02-02-2023 19:48:24

6,6K Tweet

6,6K Followers

3,3K Following

Duro Crypto (@durocrypto1) 's Twitter Profile Photo

PESA NA TIME PREFERENCE Kwa nini baadhi ya watu wanatajirika polepole na wengine wanabaki pale pale? Watu wengi wanafikiri utajiri unatokana na mshahara mkubwa, bahati, au kupata deal fulani ya ghafla. Lakini ukweli ni tofauti kabisa. Kuna kitu kimoja kimya kimya kinaamua

Duro Crypto (@durocrypto1) 's Twitter Profile Photo

Leo: Nyumba zinanunuliwa kwa mkopo Elimu kwa mkopo Harusi kwa mkopo Hata matumizi ya kila siku kwa mkopo Miaka 100 iliyopita: Watu walijenga kwa savings zao. Siku hizi tunatumia future income kuishi leo.

Duro Crypto (@durocrypto1) 's Twitter Profile Photo

UNAJUA WATU WENGI HAWANA TATIZO LA KUWEKA AKIBA ? Tatizo ni mfumo wenyewe unawafanya waone kama kusave ni kujitesa bure. Fikiria. Unaamua kubana matumizi. Unaweka zako akiba. Unasema hii ni ya baadaye, labda kwa ajili ya biashara au familia. Miaka miwili inapita. Unaenda

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Kwa siku 53 tangu kuanza kwa mwaka nimerekodi contents 405. Kuanza kwangu sikuwa na studio nzuri ya kufanyia content zangu. Niliamua kutumia nilivyonavyo kufanya bila visingizio. 1.Nikachukua kiti cha Dinning nikaweka. 2. Nikatoa UWA LA MAPAMBO likakaa kando. 3. Nikanunua

Kwa siku 53 tangu kuanza kwa mwaka nimerekodi contents 405.

Kuanza kwangu sikuwa na studio nzuri ya kufanyia content zangu. Niliamua kutumia nilivyonavyo kufanya bila visingizio.

1.Nikachukua kiti cha Dinning nikaweka.

2. Nikatoa UWA LA MAPAMBO likakaa kando.

3. Nikanunua
Duro Crypto (@durocrypto1) 's Twitter Profile Photo

Je, pesa tunayotumia, riba tunazoziona, na masoko tunayoingia - kweli yanaonyesha akiba halisi ya jamii na mahitaji halisi ya watu? Au kuna mtu juu anasukuma usukani wa soko la mtaji, halafu sisi wengine tunafuata mkondo tukidhani ni soko huru? Na kama signal ni fake,je

Duro Crypto (@durocrypto1) 's Twitter Profile Photo

Sheria ya maisha: usitumie zaidi ya unachopata. Lakini serikali inaongeza pesa ikikwama. Hivi uchumi una gravity yake… au kuna wanaoruka bila kuanguka?

Duro Crypto (@durocrypto1) 's Twitter Profile Photo

Ndani ya miaka 5-10 ijayo, watu wengi wanaotegemea kuuza services mtandaoni watapoteza kipato. Sio kwa sababu hawana akili. Bali kwa sababu AI haitaki mshahara. Kama kipato chako kinatokana na: – Writing – Design – Coding – Accounting – Marketing – Consulting Na vingine vingi

Duro Crypto (@durocrypto1) 's Twitter Profile Photo

Sasa jiulize swali moja tu. Kama teknolojia kwa asili yake inafanya vitu viwe vingi na bei zishuke, na mfumo wetu wa pesa umejengwa juu ya dhana ya bei kupanda na mikopo kuongezeka, je hizi nguvu mbili zinaweza kuishi pamoja bila kugongana?

Duro Crypto (@durocrypto1) 's Twitter Profile Photo

Fikiria hii… Barabara kuu ya mafuta duniani imefungwa ghafla. Meli karibu zote zimeacha kupita. Na mafuta milioni 20 kwa siku yamesimama njiani. Hii si movie. Hii ndiyo hali inayotokea sasa kwenye Strait of Hormuz. Na inaweza kutikisa uchumi wa dunia mzima. Fikiria

Duro Crypto (@durocrypto1) 's Twitter Profile Photo

Kuna kampuni moja ilikuwa na maduka 9,000 duniani na wafanyakazi zaidi ya 84,000. Walikuwa wafalme wa kukodisha movie. Leo… hawapo kabisa. Lakini kampuni ndogo iliyokuwa inatuma DVD kwa posta ndiyo imekuwa mfalme wa streaming duniani. Swali ni: nini kilitokea? Karibu kwenye

Duro Crypto (@durocrypto1) 's Twitter Profile Photo

Kuna siri moja kubwa sana inayofanya kampuni kama Google, Amazon na YouTube zitawale dunia ya biashara. Na ukweli wa kushangaza ni huu: Wao hawatengenezi bidhaa nyingi… lakini wanachukua faida kubwa kuliko wanaozitengeneza. Inawezekanaje hilo? 🤔 Fikiria Kariakoo.

Learners Bookshop (@vitabu247) 's Twitter Profile Photo

Sasa wote tunatambua hapa kuwa maarifa kuhusu pesa ni muhimu kuliko pesa yenyewe. Au kuna mtu bado hajatambua hili tumpe hivi vitabu?

Sasa wote tunatambua hapa kuwa maarifa kuhusu pesa ni muhimu kuliko pesa yenyewe. 

Au kuna mtu bado hajatambua hili  tumpe hivi  vitabu?
Duro Crypto (@durocrypto1) 's Twitter Profile Photo

Miaka 400 iliyopita watu waliamini Dunia ndiyo katikati ya ulimwengu. Yeyote aliyesema tofauti alionekana mwongo au kichaa. Leo tunajua ukweli. Lakini swali la kujiuliza ni hili: Je, inawezekana sisi leo pia tunaamini mambo ambayo kesho yataonekana ujinga? Historia inaonyesha

Crypto Leo⚡ (@cryptoleo_hq) 's Twitter Profile Photo

Aiseee.! Fikiria mtu amejaribu ku-swap 50M $USDT zote kwenda $AAVE zenye thamani ya $36K. Na siyo kwa bahati mbaya tu kabla hajathibitisha alipewa warning kwamba process itapelekea kupata hasara kubwa yrye hakujali akabonyeza comfirm matokeo yake ni hasara kubwa isiyo ya

Aiseee.! Fikiria mtu amejaribu ku-swap 50M $USDT zote kwenda $AAVE zenye thamani ya  $36K. Na siyo kwa bahati mbaya tu kabla hajathibitisha alipewa warning kwamba process itapelekea kupata hasara kubwa yrye hakujali akabonyeza comfirm matokeo yake ni hasara kubwa isiyo ya
Duro Crypto (@durocrypto1) 's Twitter Profile Photo

Kama AI inaweza kujifunza kazi yoyote haraka kuliko binadamu… Je, ni ujuzi gani utabaki kuwa wa thamani kwa binadamu? Fikiria hilo. FAHAMU KWA HARAKA

Benjamin Cowen (@intocryptoverse) 's Twitter Profile Photo

Unemployment rate rising Geopolitical conflicts rising Price of oil rising Inflation rising Airport travel collapsing Bitcoin dropping Stocks dropping All business cycles must come to an end, and it usually ends with a recession.