Denoo Pogba Kipkazi Shabiki Shakiki (@denoopogba12) 's Twitter Profile
Denoo Pogba Kipkazi Shabiki Shakiki

@denoopogba12

Football addict 😍 🔥,, Radio listener 😍 🔥,, Rhumba addict 🔥,, Manchester United die hard fan 😍

ID: 1299393159143792640

calendar_today28-08-2020 17:07:57

34,34K Tweet

2,2K Takipçi

4,4K Takip Edilen

Denoo Pogba Kipkazi Shabiki Shakiki (@denoopogba12) 's Twitter Profile Photo

Mfalme Jk naskiza nikiwa kimose near Emining Mogotio alafu salimia shosho yangu Kimoi hua hakozi kuskiza porojo,ni fan wako mkubwa sana #goodeveningkenya .

Denoo Pogba Kipkazi Shabiki Shakiki (@denoopogba12) 's Twitter Profile Photo

Awamu ni ya taratibu nikiwa kimose near Emining Mogotio,naliwaza MikaAluda, EzekielElkana, GideonOcharo, VioletKarani, Prudent Amida na nyinyi pia hapo studio,wote nawatakia jioni njema #DriveOnReloaded .

Denoo Pogba Kipkazi Shabiki Shakiki (@denoopogba12) 's Twitter Profile Photo

Mfalme Jk kwa kweli kuhusu hii mradi ya housing hatuelewi chochote,nafikiria ni Rais pekee ndiye anafahamu hivo basi anastahili kuja ground na kuelezea wananchi wake vizuri kwa lugha inayoeleweka, naskiza nikiwa kimose near Emining Mogotio #goodeveningkenya .

Denoo Pogba Kipkazi Shabiki Shakiki (@denoopogba12) 's Twitter Profile Photo

Mhenga Jk naskiza nikiwa kimose near Emining mogotio alafu wazee wa uku akiongozwa na StanleyTanui wanakualika siku moja mkaenjoy maiwek,true story 😂 #GoodEveningKenya .

Good afternoon Tina na Munai?nimeingia ndani ya best drive show in Africa nikiwa kimose near Emining mogotio,wapi MikaAluda,EzekielElkana,GideonOcharo,VioletKarani na StanleyTanui, hashtag ni #DriveOnReloaded .

Denoo Pogba Kipkazi Shabiki Shakiki (@denoopogba12) 's Twitter Profile Photo

Jk kuna jamaa anaitwa StanleyTanui alinitoa kwa shimo siku moja baada ya kuingia hoteli nikakula baada ya kumaliza kujaribu kutoa pesa nilipe kumbe nilikua nimepoteza pesa,Stanley akaniokolea,kama si yeye sidhani kama ningekua na nyinyi sai😂 kimose inaskiza #GoodEveningKenya

Denoo Pogba Kipkazi Shabiki Shakiki (@denoopogba12) 's Twitter Profile Photo

Awamu ni ya taratibu nikiwa Karatina university, naliwaza MikaAluda, EzekielElkana, GideonOcharo, BaloziOmuse Leonard, FordKimungui na watu wa kimose near Emining Mogotoo, wote nawatakia jioni njema ni Deno Pogba Kipkazi Shabiki shakiki #DriveOnReloaded .

Denoo Pogba Kipkazi Shabiki Shakiki (@denoopogba12) 's Twitter Profile Photo

TBT edition nikiwa Karatina university alafu MikaAluda, EzekielElkana, GideonOcharo na my mum Margaret Chelelgo akiwa kimose near Emining Mogotio waingie ndani ya #DriveOnReloaded 🎧

Denoo Pogba Kipkazi Shabiki Shakiki (@denoopogba12) 's Twitter Profile Photo

Mfalme JK Hujambo? Naskiza nikiwa karatina university alafu salimia my mum Margaret Chelelgo akiwa pale kimose near Emining Mogotio,nampenda sana #GoodEveningKenya 🎤🎧