𝗗𝗮𝗻𝘆𝗲 𝗭𝗲 𝗠𝘂𝗳𝗮𝘀𝗮 🦁 (@danyemufasa) 's Twitter Profile
𝗗𝗮𝗻𝘆𝗲 𝗭𝗲 𝗠𝘂𝗳𝗮𝘀𝗮 🦁

@danyemufasa

🍀One Love🍀

ID: 1922933609830178816

calendar_today15-05-2025 08:35:13

2,2K Tweet

357 Takipçi

198 Takip Edilen

Ezekiel_Son (@ezekiel_devis) 's Twitter Profile Photo

Kifo kinapokuja tajiri hana mali, wala maskini hana madeni. Maisha ya dunia hutupa matabaka, lakini kifo hutuweka wote sawa🕊

Kifo kinapokuja tajiri hana mali, wala maskini hana madeni. Maisha ya dunia hutupa matabaka, lakini kifo hutuweka wote sawa🕊
CARGO⭐🌍 (@cargo_1911) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mtendaji wa ChatGPT, Sam Altman, amesema watu wanashiriki taarifa binafsi na ChatGPT bila kujua kwamba mazungumzo hayo yanaweza kutumika kama ushahidi mahakamani katika kesi za kisheria. Msije kusema sijawa Sanua.

Mkurugenzi Mtendaji wa ChatGPT, Sam Altman, amesema watu wanashiriki taarifa binafsi na ChatGPT bila kujua kwamba mazungumzo hayo yanaweza kutumika kama ushahidi mahakamani katika kesi za kisheria.

Msije kusema sijawa Sanua.
STIMA⚡ (@josmanstima) 's Twitter Profile Photo

2018 nilikamatwa na polisi kwa kosa la uzuluraji Usiku wakanidaka wakaniweka Ndichi wakasema piga magoti ile nachuchumaa Kipisi Cha Bangi kikadondoka 😂😂oyaa niliokota chapu Nikakimeza maana Saizi tungekua tuna ongea mengine 💯BASED ON TRUE STORY

Swed Junior (@kingvannytz_) 's Twitter Profile Photo

Kuzaliwa upya ni jambo ambalo watu wengi wanakwepa kulizungumzia, hasa Wakristo. Lakini kama tunavyosoma katika Maandiko, kuzaliwa upya ni kweli ni jambo ambalo linawahusu wanadamu wote bila kujali dini au imani. Katika Mwanzo 1:27, tunaambiwa kwamba “Mungu alimuumba mwanadamu

Kuzaliwa upya ni jambo ambalo watu wengi wanakwepa kulizungumzia, hasa Wakristo. Lakini kama tunavyosoma katika Maandiko, kuzaliwa upya ni kweli ni jambo ambalo linawahusu wanadamu wote bila kujali dini au imani.

Katika Mwanzo 1:27, tunaambiwa kwamba “Mungu alimuumba mwanadamu
Betway Tanzania (@betwaytanzania) 's Twitter Profile Photo

Mambo #BetwaySquad 👋 Tuna furaha kubwa kutangaza rasmi kuwa sisi ni Wadhamini Rasmi wa klabu ya @SimbaScTanzania 🔴🦁 Tunatazamia kuweka historia na Klabu hii ya kipekee kabisa 🤝 #BetwayXSimba #NguvuMoja #BetNaBetway

Mambo #BetwaySquad 👋

Tuna furaha kubwa kutangaza rasmi kuwa sisi ni Wadhamini Rasmi wa klabu ya @SimbaScTanzania 🔴🦁 

Tunatazamia kuweka historia na Klabu hii ya kipekee kabisa 🤝

#BetwayXSimba #NguvuMoja #BetNaBetway
Uncle chitemo (@ankowataifa) 's Twitter Profile Photo

Hakuna mwanaume aliyekufa kwa kuwa single , ila wapo waliojiua Kwa kuwapenda wanawake wasiosahihi kwao .Uamuzi ni wako ✍️

Kentoddy (@kentoddym) 's Twitter Profile Photo

This is the best time to promote all small accounts. Very fast let me promote the first 30 REPOSTERS. You MUST FOLLOW these accounts👇 1. Danwai 🇰🇪 2 Mr Tony 3 Dr Idris Idahosa 🇰🇪 4 𝗥𝗶𝗰𝗵 𝗥𝗲𝘁𝘄𝗲𝗲𝘁𝘀 5 Laikipia Electrician🇰🇪 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 29 30 ADD+

Tebbe 🫦 (@ms_tebbe) 's Twitter Profile Photo

Hakuna chochote cha kushindana na dhamira ya mabadiliko iliyo ndani yako. Siku uliyonayo ni leo,itumie vyema kwa sababu hairudi tena Nikutakie mchana mwema,usiache kula hata kama unapitia magumu namna gani.