๐‘ซ๐’“.๐‘ฏ๐’Š๐’๐’‚๐’“๐’š ๐’˜๐’‚ ๐’€๐’‚๐’๐’ˆ๐’‚๐• (@daktariwayanga) 's Twitter Profile
๐‘ซ๐’“.๐‘ฏ๐’Š๐’๐’‚๐’“๐’š ๐’˜๐’‚ ๐’€๐’‚๐’๐’ˆ๐’‚๐•

@daktariwayanga

๐Ž๐Ÿ๐Ÿ๐ข๐œ๐ข๐š๐ฅ ๐— ๐€๐œ๐œ๐จ๐ฎ๐ง๐ญ ๐จ๐Ÿ ๐ƒ๐š๐ค๐ญ๐š๐ซ๐ข๐ฐ๐š๐ฒ๐š๐ง๐ ๐š|๐“๐ซ๐š๐ง๐ฌ๐ฉ๐š๐ซ๐ž๐ง๐ญ ๐Ž๐ง๐ฅ๐ข๐ง๐ž ๐๐ž๐ฐ๐ฌ ๐ข๐ง ๐„๐š๐ฌ๐ญ ๐€๐Ÿ๐ซ๐ข๐œ๐š
๐Ÿ“ฉMATANGAZO BEI POA

ID: 1428263660640784385

calendar_today19-08-2021 07:53:04

128,128K Tweet

51,51K Takipรงi

4,4K Takip Edilen

Kwame Kivaisi (@kwamekivaisi) 's Twitter Profile Photo

It baffles me that you canโ€™t read the LIE in his presentation. Unampigia simu Rais kwamba umeambiwa atakufa just like that? Amiri Jeshi Mkuu? Wasomi wetu ndo mko hivi? Kazi ipo.

Kilwafinest ๐Ÿฆˆ (@kilwafinest) 's Twitter Profile Photo

KAZI IENDELEE โœ๏ธ Matukio mbalimbali katika Maonesho ya Kitaifa na Kimataifa ya Nanenane, Nzuguni โ€“ Dodoma leo. Hili ni jukwaa la kuonesha ubunifu, teknolojia na suluhisho bunifu za kilimo, ufugaji na uvuvi kwa maendeleo ya Taifa. #KaziNaUtu #TunasongaMbele

KAZI IENDELEE โœ๏ธ

Matukio mbalimbali katika Maonesho ya Kitaifa na Kimataifa ya Nanenane, Nzuguni โ€“ Dodoma leo.

Hili ni jukwaa la kuonesha ubunifu, teknolojia na suluhisho bunifu za kilimo, ufugaji na uvuvi kwa maendeleo ya Taifa.

#KaziNaUtu #TunasongaMbele
Godfather fan (@godfxer_fan) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ DODOMA | AGOSTI 8, 2025 MHE. RAIS SAMIA AZURU MAONESHO YA NANENANE NZUGUNI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo ametembelea mabanda ya Maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni, Jijini Dodoma. Ziara hiyo imelenga

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ DODOMA | AGOSTI 8, 2025
MHE. RAIS SAMIA AZURU MAONESHO YA NANENANE NZUGUNI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo ametembelea mabanda ya Maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni, Jijini Dodoma.

Ziara hiyo imelenga
Moker ๐Ÿ‘๏ธ (@moker___) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA KWA UMMA Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza rasmi ratiba ya utoaji wa fomu za uteuzi kwa wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais kuanzia 09 โ€“ 27 Agosti 2025 jijini Dodoma. Vyama 14 vya siasa vimewasilisha majina ya wagombea wao.

TAARIFA KWA UMMA
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza rasmi ratiba ya utoaji wa fomu za uteuzi kwa wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais kuanzia 09 โ€“ 27 Agosti 2025 jijini Dodoma.

Vyama 14 vya siasa vimewasilisha majina ya wagombea wao.
โœบ๐‘ด๐’‚๐’“๐’Š๐’‚๐’Žโ… (@mariam255_) 's Twitter Profile Photo

Amkeni! Mambo Ni Mazuri ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yaja na taarifa moto. Utoaji fomu za urais na makamu 09โ€“27 Agosti 2025 Dodoma, vyama 14 vitani rasmi.

Amkeni!

Mambo Ni Mazuri ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yaja na taarifa moto.

Utoaji fomu za urais na makamu 09โ€“27 Agosti 2025 Dodoma, vyama 14 vitani rasmi.
Muhaluro Jr (@muhaluro1) 's Twitter Profile Photo

Uchaguzi mkuu umeshika kasi, Mambo yanaendelea kuchangamka. Hii ni taarifa muhimu sana kwa umma. ๐Ÿ“Œ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ

Uchaguzi mkuu umeshika kasi, Mambo yanaendelea kuchangamka.

Hii ni taarifa muhimu sana kwa umma. ๐Ÿ“Œ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
๐‰๐ซ ๏ฃฟ (@imaajr_) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA KWA UMMA Kuhusu ratiba ya kutoa fomu za uteuzi wa wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni hatua muhimu kuelekea uchaguzi mkuu, ikitoa mwongozo kwa vyama vya siasa na wagombea kufuata taratibu rasmi za Tume ya Uchaguzi.

TAARIFA KWA UMMA
Kuhusu ratiba ya kutoa fomu za uteuzi wa wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hii ni hatua muhimu kuelekea uchaguzi mkuu, ikitoa mwongozo kwa vyama vya siasa na wagombea kufuata taratibu rasmi za Tume ya Uchaguzi.
Gogoryo King, NDC (@gogoryoking) 's Twitter Profile Photo

Ni rasmi sasa Chadema imekufa. Sisi kama CHAUMA tupo katika hatua za mwisho mwisho sana kuchukua na mali zetu zoote tulizoacha kule ikiwemo Ofisi, Magari yote, na fedha kiasi.

Wiseman ๐Ÿ˜Ž (@bizydan) 's Twitter Profile Photo

Taarifa kwa umma kuhusu mchakato wa uchaguzi na hii hapa ni ratiba maalumu ya mchakato wote wa uchaguzi mkuu 2025 Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿซก

Taarifa kwa umma kuhusu mchakato wa uchaguzi na hii hapa ni ratiba maalumu ya mchakato wote wa uchaguzi mkuu 2025 Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿซก
Adui Wa Yanga (@aduiwayanga) 's Twitter Profile Photo

Jabali na proffer wa siasa za kimkakati kesho atachukua form rasmi ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Waambieni wale tukutane ulingoni

Jabali na proffer wa siasa za kimkakati kesho atachukua form rasmi ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 

Waambieni wale tukutane ulingoni
๐‘ซ๐’“.๐‘ฏ๐’Š๐’๐’‚๐’“๐’š ๐’˜๐’‚ ๐’€๐’‚๐’๐’ˆ๐’‚๐• (@daktariwayanga) 's Twitter Profile Photo

๐‡๐š๐›๐š๐ซ๐ข ๐ฆ๐จ๐ญ๐จ ๐ฆ๐จ๐ญ๐จ ๐”๐œ๐ก๐š๐ ๐ฎ๐ณ๐ข ๐ฎ๐ฆ๐ž๐œ๐ก๐ฎ๐ค๐ฎ๐š ๐ฌ๐ฎ๐ซ๐š ๐ฆ๐ฉ๐ฒ๐š, ๐ค๐ข๐ฅ๐š ๐ฌ๐š๐ฎ๐ญ๐ข ๐ง๐ข ๐ฆ๐ฎ๐ก๐ข๐ฆ๐ฎ. ๐‰๐ข๐ฎ๐ง๐ ๐ž ๐ง๐š ๐ฆ๐œ๐ก๐š๐ค๐š๐ญ๐จ, ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐š ๐ก๐š๐ค๐ข ๐ฒ๐š๐ค๐จ, ๐ง๐š ๐ญ๐ฎ๐ก๐š๐ค๐ข๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐ž ๐ญ๐š๐ข๐Ÿ๐š ๐ฅ๐ข๐ง๐š๐ž๐ง๐๐ž๐ฅ๐ž๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐š๐ฆ๐š๐ง๐ข.

๐‡๐š๐›๐š๐ซ๐ข ๐ฆ๐จ๐ญ๐จ ๐ฆ๐จ๐ญ๐จ

๐”๐œ๐ก๐š๐ ๐ฎ๐ณ๐ข ๐ฎ๐ฆ๐ž๐œ๐ก๐ฎ๐ค๐ฎ๐š ๐ฌ๐ฎ๐ซ๐š ๐ฆ๐ฉ๐ฒ๐š, ๐ค๐ข๐ฅ๐š ๐ฌ๐š๐ฎ๐ญ๐ข ๐ง๐ข ๐ฆ๐ฎ๐ก๐ข๐ฆ๐ฎ. 

๐‰๐ข๐ฎ๐ง๐ ๐ž ๐ง๐š ๐ฆ๐œ๐ก๐š๐ค๐š๐ญ๐จ, ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐š ๐ก๐š๐ค๐ข ๐ฒ๐š๐ค๐จ, ๐ง๐š ๐ญ๐ฎ๐ก๐š๐ค๐ข๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐ž ๐ญ๐š๐ข๐Ÿ๐š ๐ฅ๐ข๐ง๐š๐ž๐ง๐๐ž๐ฅ๐ž๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐š๐ฆ๐š๐ง๐ข.
MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@dictatorbin) 's Twitter Profile Photo

Saizi nazani macho yao yatakuwa yanaamini kuwa Uchaguzi upo na Tunatambanao. Vyama Tayari vya upinzani zaidi ya 10 vipo Tayari na vishafanya maandalizi ya kutosha. OKTOBA TUNATIKI #KaziNaUtu #TunasongaMbele

Saizi nazani macho yao yatakuwa yanaamini kuwa Uchaguzi upo na Tunatambanao.
Vyama Tayari vya upinzani zaidi ya 10 vipo Tayari na vishafanya maandalizi ya kutosha.
OKTOBA TUNATIKI
#KaziNaUtu #TunasongaMbele
๐‘ซ๐’“.๐‘ฏ๐’Š๐’๐’‚๐’“๐’š ๐’˜๐’‚ ๐’€๐’‚๐’๐’ˆ๐’‚๐• (@daktariwayanga) 's Twitter Profile Photo

CHADEMA YAPUKUTIKA MAZIMA. #WapitaNjia wameonyesha wazi kuporomoka kwa CHADEMA baada ya viongozi wakuu Yericko Nyerere na James Mbowe kujiuzulu. Mgogoro na kutokuelewana ndani ya chama kumechochea hali hii, hasa baada ya uchaguzi wa ndani kumalizika.