diva
@divathebawse
Award winning media personality
relationship expect
radio host/ reality tv star/ brand strategist
ID: 1701869447227580416
13-09-2023 08:04:45
48 Tweet
128 Followers
241 Following
Msiwe watu wa kupuuzia hisia zenu sometimes zina maana kubwa. Baada ya kuona video ya Sativa akihojiwa na kudai alikuwa Oysterbay nikakumbuka Jumatatu nilipelekwa na gari ya millardayo Oysterbay nikakutana na Brother Patrick baada ya kupata majibu yasiyo na matumaini
Kariakoo Derby Simba SC wataonesha Ubaya Ubwela dhidi ya mtani Yanga SC, Mchezo utakaochezwa Kesho Uwanja wa Mkapa. Je, Simba Atafanikiwa kujitetea mbele ya Wananchi? Tabiri na Ushinde. 1. Follow InfinixMobileTZ 2. Weka Utabiri wako kwenye comment section na watag marafiki