Civilian (@civilian_wt) 's Twitter Profile
Civilian

@civilian_wt

Siko serious sana humu.
Naongea nitakalo, nabeba nitakalo

ID: 923780091926208512

calendar_today27-10-2017 05:15:11

13,13K Tweet

668 Followers

388 Following

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️MSIENDE HOSPITALI ZA SERIKALI ‼️ Bado wanapita kuwakusanya na kuwaua majeruhi Jamani tusipoamka kwenda kukomboa wapendwa wetu wataua wengi zaidi The police and security forces are taking patients from hospital and killing them and burying them! #SaveTanzania #TanzaniaMassacre

‼️MSIENDE HOSPITALI ZA SERIKALI ‼️
Bado wanapita kuwakusanya na kuwaua majeruhi
Jamani tusipoamka kwenda kukomboa wapendwa wetu wataua wengi zaidi
The police and security forces are taking patients from hospital and killing them and burying them! 
#SaveTanzania #TanzaniaMassacre
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Mwanamuziki na mfalme wa mashairi Tanzania, Selemani Msindi maarufu kama Afande Sele, ameeleza kuwa kitendo cha kukamatwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, kinaweza kuchochea hasira za wananchi, hasa katika kipindi hiki

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader (@wakazi) 's Twitter Profile Photo

DONT PRAY FOR TANZANIA… FIGHT FOR IT! Hakuna Mtu perfect, na ni kweli baadhi ya Walioandamana walifanya uharibifu wa Mali (kutokana na hasira/ghadhabu), ila hiyo haiwapi DHAMANA Watawala kuwaua. Hata Mwizi au Jambazi anakamatwa na anapelekwa MAHAKAMANI. Hata Wauwaji nao huwa

DONT PRAY FOR TANZANIA… FIGHT FOR IT!

Hakuna Mtu perfect, na ni kweli baadhi ya Walioandamana walifanya uharibifu wa Mali (kutokana na hasira/ghadhabu), ila hiyo haiwapi DHAMANA Watawala kuwaua. Hata Mwizi au Jambazi anakamatwa na anapelekwa MAHAKAMANI. Hata Wauwaji nao huwa
Christopher Haslett (@cj_haslett) 's Twitter Profile Photo

I'll probably never revisit TZ so here are my main thoughts: TZ'ers are more civic and consensual than their chaotic neighbors. They're slower to anger but once they decide, it's zero-to-60 fast, as we saw. Also, whatever the law says, most don't want a Zanzibari leading them.

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Taarifa ya Dw swahili iliyosoma na Bakari Ubena Dw Swahili wamemtaja Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidhi kama Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa asiye Rasmi na Mtu aliyenyuma ya Mateso ya Mauaji ya Waandamanaji na Msuka mikakati nyuma ya Mama yake Abdul Anatuhumiwa kuwa ndiye

MudharaGee (@mudharagee) 's Twitter Profile Photo

This guy was a ring leader in The Zimbabwe Gold Mafia circle, he should be aligned to dictators around the world but he too is shocked at the level of theft by this Samoa Suluhu woman.

The Kenyan Vigilante (@kenyansays) 's Twitter Profile Photo

Families in Kigoma, Tanzania, recount how police officers moved door to door, arresting young people for no reason and harassing residents during and after election day.

Suphian Juma Nkuwi (@suphianjuma) 's Twitter Profile Photo

Vijana mkiambiwa kiuungwana punguzeni hiyo midomo mirefu kama chuchunge hamsikii, mnajiona nyie ndio sheria na katiba, haya acheni vilio pambaneni na Sheria na Katiba halisi.

Vijana mkiambiwa kiuungwana punguzeni hiyo midomo mirefu kama chuchunge hamsikii, mnajiona nyie ndio sheria na katiba, haya acheni vilio pambaneni na Sheria na Katiba halisi.
Sahara Wire (@saharawire) 's Twitter Profile Photo

Businesswoman Niffer Jovin has appeared in court after being charged with treason by the Tanzanian government, all because she danced to a song mocking President Samia Suluhu Hassan on TikTok.