Christian Council of Tanzania (@christiancounc7) 's Twitter Profile
Christian Council of Tanzania

@christiancounc7

Christian Council of Tanzania (CCT) is an umbrella organization bringing together protestant denominations and church related organizations.

ID: 1234683923277451264

linkhttp://www.cct.or.tz calendar_today03-03-2020 03:36:17

153 Tweet

61 Takipçi

45 Takip Edilen

Christian Council of Tanzania (@christiancounc7) 's Twitter Profile Photo

Leo CCT tumetembelewa na kupata neno la Mungu (Ibada ya asubuhi) kutoka kwa Captain James Ndera wa Kanisa la Jeshi la Wokovu Jijini Dodoma. Katika ibada hiyo aliambatana na watumishi wa kanisa hilo akiwemo Capt: Prista Ndera USIOGOPE KUANZA UPYA UNAPOKUTANA NA MAGUMU

Leo CCT  tumetembelewa na kupata  neno la Mungu (Ibada ya asubuhi)  kutoka kwa Captain James Ndera wa Kanisa la Jeshi la Wokovu Jijini Dodoma. Katika ibada hiyo aliambatana na watumishi wa kanisa hilo akiwemo Capt:  Prista Ndera

USIOGOPE KUANZA UPYA UNAPOKUTANA NA MAGUMU
Christian Council of Tanzania (@christiancounc7) 's Twitter Profile Photo

Kurugenzi kutoka Idara mbalimbali katika Jumuiya ya Kikristo Tanzania zimewasilisha mipango ya mwaka 2025 na kuainisha namna ya utekelezaji wa miradi mbalimbali kwa kila idara. Mpango Mkakati 2024-2028. #uwajibikaji_na_utendaji_makini

Kurugenzi kutoka Idara mbalimbali katika Jumuiya ya Kikristo Tanzania zimewasilisha mipango ya mwaka 2025 na kuainisha namna ya utekelezaji wa miradi mbalimbali kwa kila idara.
Mpango Mkakati 2024-2028.
#uwajibikaji_na_utendaji_makini
Christian Council of Tanzania (@christiancounc7) 's Twitter Profile Photo

CCT imetembelea ofisi ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe kutambulisha Mradi wa USAID Tuwajibike. Mradi huu utatekelezwa na TEC katika halmashauri za Njombe & Ludewa, ukilenga uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii katika matumizi ya rasilimali za umma. #UwaziNaUwajibikaji

Jumuiya ya Kikristo Tanzania inaungana na Wananchi kuwapa salamu za pole Wafanyabiashara wa soko la Kariakoo, kipekee tunatoa salamu za pole kwa ndugu na jamaa waliopoteza wapendwa wao na majeruhi. #polekariakoopolewatanzaniawote

Jumuiya ya Kikristo Tanzania inaungana na Wananchi kuwapa salamu za pole Wafanyabiashara wa soko la Kariakoo, kipekee tunatoa salamu za pole kwa ndugu na jamaa waliopoteza wapendwa wao na majeruhi.
#polekariakoopolewatanzaniawote
Christian Council of Tanzania (@christiancounc7) 's Twitter Profile Photo

Zimesalia Siku 2 Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, Jumuiya ya Kikristo Tanzania inawakumbusha Wananchi wote wenye Sifa ni Haki yako Kikatiba Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 na zaidi Kupiga Kura. #uchaguziserikalizamitaa2024 #demokrasiayetu OFISI YA WAZIRI MKUU - TAMISEMI

Zimesalia Siku 2 Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, Jumuiya ya Kikristo Tanzania inawakumbusha Wananchi wote wenye Sifa ni Haki yako Kikatiba Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 na zaidi Kupiga Kura.
#uchaguziserikalizamitaa2024 #demokrasiayetu
OFISI YA WAZIRI MKUU - TAMISEMI
Christian Council of Tanzania (@christiancounc7) 's Twitter Profile Photo

The World without violence is possible let us join together and raise our voices to End GBV....... #16daysofactivism #faithinaction NCA Tanzania brotfuerdiewelt TB @lminternationaltanzania Upendo Media @unitedchurchcanada @worldcouncilofchurches USAIDTanzania

The World  without  violence is possible  let us join together and raise our voices  to End GBV.......

#16daysofactivism
#faithinaction
NCA Tanzania brotfuerdiewelt TB @lminternationaltanzania Upendo Media @unitedchurchcanada @worldcouncilofchurches
USAIDTanzania
Christian Council of Tanzania (@christiancounc7) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa CCT, Baba Askofu Dkt. Fredrick Shoo, ameongoza Ibada ya Uwekaji Jiwe la Msingi la Jengo la Kitega Uchumi (CCT Commercial Complex) Dodoma. Jengo hilo litaleta mchango mkubwa katika kuongeza mapato ya CCT na kusaidia shughuli za Uinjilisti na Elimu ya Kikristo.

"Standing strong against Gender-Based Violence. Let’s unite for change, compassion, and justice. #16DaysOfActivism #EndGBV #FaithInAction"

Together, we can end Gender-Based Violence. 🌍✨ During these 16 Days of Activism, we’re raising our voices in schools and communities to create a safer, more inclusive world for everyone. Let’s break the silence and build a future free from violence. #EndGBV #16DaysOfActivism

Together, we can end Gender-Based Violence. 🌍✨ During these 16 Days of Activism, we’re raising our voices in schools and communities to create a safer, more inclusive world for everyone. Let’s break the silence and build a future free from violence.
#EndGBV #16DaysOfActivism
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Mkuu wa wilaya ya Morogoro Mussa Kilakala amewataka wazazi na walezi kuacha kujisahau juu ya malezi kwa kuwa malezi bora hujenga kizazi bora Akizungumza katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia mkoani Morogoro amesema kuwa asilimia kubwa ya wazazi

Christian Council of Tanzania (@christiancounc7) 's Twitter Profile Photo

"📢 Malezi bora, kizazi bora! Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mussa Kilakala, amewataka wazazi na walezi kuzingatia jukumu la malezi, akisema wengi wamezidiwa na majukumu ya kazi na kusahau wajibu huu muhimu. Kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, #16DaysOfActivism #TokomezaUkatili

"📢 Malezi bora, kizazi bora! Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mussa Kilakala, amewataka wazazi na walezi kuzingatia jukumu la malezi, akisema wengi wamezidiwa na majukumu ya kazi na kusahau wajibu huu muhimu.
Kwa kushirikiana na wadau mbalimbali,
#16DaysOfActivism #TokomezaUkatili
Christian Council of Tanzania (@christiancounc7) 's Twitter Profile Photo

Mradi wa USAID Tuwajibike umefika Pwani, mojawapo ya mikoa 11 inayotekelezwa, na kuzungumza na viongozi wa mtaa na wananchi wa Kijiji cha Bungu. Mradi huu unalenga kuunga mkono jitihada za Serikali katika uwajibikaji, uwazi, na ushiriki wa jamii kusimamia rasilimali za umma.

🌍 The USAID Tuwajibike project (Let’s Be Accountable) is a 3-year initiative funded by USAID, dedicated to fostering government accountability, transparency, and increased public participation in managing public resources. #ResourceManagement #CommunityEmpowerment

🌍 The USAID Tuwajibike project (Let’s Be Accountable) is a 3-year initiative funded by USAID, dedicated to fostering government accountability, transparency, and increased public participation in managing public resources.
#ResourceManagement #CommunityEmpowerment
Christian Council of Tanzania (@christiancounc7) 's Twitter Profile Photo

Partnering with UNICEF Tanzania , TIP ,CCT is fighting Marburg Virus in Kagera. We’ve trained 800 community leaders & CHW to drive MVD prevention in Biharamulo,Muleba & Ngara. Together we protect lives! #EndMarburg #CommunityHealth #StrongerTogether"

Partnering with UNICEF Tanzania , TIP ,CCT is fighting Marburg Virus in Kagera. We’ve trained 800 community leaders & CHW to drive MVD prevention in Biharamulo,Muleba & Ngara. Together we protect lives!
#EndMarburg #CommunityHealth #StrongerTogether"