profile-img
chizzo drama

@Chizzodrama

๐—จ๐—ก๐——๐—˜๐—ฅ ๐—ช๐—ฅ๐—”Ps|| ๐—บ๐—ผ๐—ฑ๐—ฒ๐—ฟ๐—ป ๐—ฆ๐—ต๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ๐˜€๐—ฝ๐—ฒ๐—ฎ๐—ฟe || ๐— ๐—จ๐—ฆ๐—œ๐—–๐—ข๐—Ÿ๐—ข๐—š๐—œ๐—ฆ๐—ง ||๐—Ÿ๐—ฌ๐—ฅ๐—œ๐—–๐—”๐—Ÿ ๐—›๐—จ๐—Ÿ๐—ž||

๐€๐๐€๐‹๐˜๐’๐ˆ๐’ & ๐‚๐‘๐ˆ๐“๐ˆ๐‚๐’๐Ÿ“Œ

calendar_today30-05-2016 19:31:59

62,9K Tweets

19,8K Followers

7,9K Following

chizzo drama(@Chizzodrama) 's Twitter Profile Photo

158โ—พ October 6 mwaka 2023 , baada ya muda mrefu DRAKE na JCOLE wanaungana tena kwenye ngoma iitwayo FIRST PERSON SHOOTER

ngoma namba 6 , ikiwa katika Album ya drake iitwayo 'FOR ALL THE DOGS'

Walikuwa na Ujumbe kwa Kendrick nao Ni๐Ÿ‘‡

158โ—พ October 6 mwaka 2023 , baada ya muda mrefu DRAKE na JCOLE wanaungana tena kwenye ngoma iitwayo FIRST PERSON SHOOTER ngoma namba 6 , ikiwa katika Album ya drake iitwayo 'FOR ALL THE DOGS' Walikuwa na Ujumbe kwa Kendrick nao Ni๐Ÿ‘‡
account_circle
chizzo drama(@Chizzodrama) 's Twitter Profile Photo

159โ—พ JCOLE anasikika akisema

'Lots of niggas debating my numeral, not the three not the two, I'm the UNO, yeah numeral Uno
Me and drizzy this shit like Superbowl'

Akimaanisha Wana kibao wanajadili kuwa Ni namba ngapi kwa ubora๐Ÿ‘‡

account_circle
chizzo drama(@Chizzodrama) 's Twitter Profile Photo

160โ—พAnawajibu kuwa , yeye ni namba moja (numeral Uno)
Na kwa Sasa yeye na Drake ndiyo Bora , akihusisha (Superbowl)

Superbowl fainal za American football, na huwa zinashindana timu mbili tu
hivyo anamaanisha , Wakali ni wao tu๐Ÿ‘‡

160โ—พAnawajibu kuwa , yeye ni namba moja (numeral Uno) Na kwa Sasa yeye na Drake ndiyo Bora , akihusisha (Superbowl) Superbowl fainal za American football, na huwa zinashindana timu mbili tu hivyo anamaanisha , Wakali ni wao tu๐Ÿ‘‡
account_circle
chizzo drama(@Chizzodrama) 's Twitter Profile Photo

161โ—พPia katika Vesi ya Pili Cole anasikika

'I Love it when they argue who's the hardest Mc, is K-dot, is it aubrey ,or me
We the big three like we started the league
But right now I feel like Mohammed Ali'

Anasema kuwa huwa Anafurahi kusikia๐Ÿ‘‡

account_circle
chizzo drama(@Chizzodrama) 's Twitter Profile Photo

162โ—พ Watu wakibishana mkali Nani Kati yao , Kendrick, Drake au yeye
Kwakuwa walianza pamoja , lakini katika uringo huo wa rap, Yeye ni Bora kuliko ,akijifananisha na hayati Mohammed Ali , sote tunakumbuka balaa lake ๐Ÿ‘‡

162โ—พ Watu wakibishana mkali Nani Kati yao , Kendrick, Drake au yeye Kwakuwa walianza pamoja , lakini katika uringo huo wa rap, Yeye ni Bora kuliko ,akijifananisha na hayati Mohammed Ali , sote tunakumbuka balaa lake ๐Ÿ‘‡
account_circle
chizzo drama(@Chizzodrama) 's Twitter Profile Photo

163โ—พKwa kukazia hayo DRAKE alikuwa na haya

'Who's the G.O.A.T, Who's the G.O.A.T, who's the G.O.A.T,
Who you bitches real rooting For?
Like kid act bad from January to November
Nigga is just ,you and Cole๐Ÿ‘‡

account_circle
chizzo drama(@Chizzodrama) 's Twitter Profile Photo

164โ—พ Hapa kiuchambuzi ndiyo tunatumia kanuni ya kuwa , maandishi pekee hayatoshi , lazima kuzingatia namna matamshi hutamkwa na Mabadiliko ya sauti

Hapo Drake ,anageza namna watu wanaulizia Nani Bora Wa muda wote kila uchwao ๐Ÿ‘‡

164โ—พ Hapa kiuchambuzi ndiyo tunatumia kanuni ya kuwa , maandishi pekee hayatoshi , lazima kuzingatia namna matamshi hutamkwa na Mabadiliko ya sauti Hapo Drake ,anageza namna watu wanaulizia Nani Bora Wa muda wote kila uchwao ๐Ÿ‘‡
account_circle
chizzo drama(@Chizzodrama) 's Twitter Profile Photo

165โ—พKwa Ukali Anawajibu ,kuwa kwanini wanarudia Jambo moja kila siku na lipo wazi , baada ya hapo

Hao watu wanajibu, kuwa Bora Wa muda wote Ni yeye na JCOLE

Kiufupi ni kuwa mpaka hapa walikuwa wamemtoa Kendrick ndani ya mchezo๐Ÿ‘‡

165โ—พKwa Ukali Anawajibu ,kuwa kwanini wanarudia Jambo moja kila siku na lipo wazi , baada ya hapo Hao watu wanajibu, kuwa Bora Wa muda wote Ni yeye na JCOLE Kiufupi ni kuwa mpaka hapa walikuwa wamemtoa Kendrick ndani ya mchezo๐Ÿ‘‡
account_circle
chizzo drama(@Chizzodrama) 's Twitter Profile Photo

166โ—พ Waswahili husema haiishi mpaka iishe ๐Ÿ˜‚ wakasahau ,kuwa Kendrick hajakatika ulimi

Siku nazo zikajongea , ni katika siko isiyokuwa imetarajiwa , kunako mwezi March 20 mwaka huu

Kupitia album ya future pamoja na metro boomin๐Ÿ‘‡

account_circle
chizzo drama(@Chizzodrama) 's Twitter Profile Photo

167โ—พAnatokea katika ngoma iitwayo LIKE THAT, mitandao inasimama kwa Muda,
Hope umeburudika nayo

Verse ya Kendrick tutaijadiri wakati mwingine

Nashukuru kwa kusafiri na Mimi toka๐Ÿ‘‡

167โ—พAnatokea katika ngoma iitwayo LIKE THAT, mitandao inasimama kwa Muda, Hope umeburudika nayo Verse ya Kendrick tutaijadiri wakati mwingine Nashukuru kwa kusafiri na Mimi toka๐Ÿ‘‡
account_circle
chizzo drama(@Chizzodrama) 's Twitter Profile Photo

168โ—พ1985-2024 ndani ya Uzi huu mmoja

Ukiguswa na kazi hii nzito , usiache ku REPOST wengi wajifunze

WhatsApp 0750881158


โœ๏ธ
AHSANTE

account_circle