
Child Support TZ
@child_supporttz
An Inclusive Early Child Education (ECE) Center located offering education to children with disability and children without disability
Tel: +255(0)786 780 706
ID: 869537562234417153
http://www.childsupport.or.tz 30-05-2017 12:54:44
337 Tweet
248 Followers
300 Following






Welcome to join Differently-Abled Club in clubhouse! Karibu ujiunge na club ya Differently-Abled ndani ya mtandao wa kijamii wa ClubHouse. Hilda Nkabe Clubhouse Kumekucha Club Mrusha Jones Foundation for Civil Society Wizara ya Elimu Tanzania clubhouse.com/club/different…




Karibuni kusikiliza kipindi cha STIMELA TBC FM leo jumatatu 18/10/2021 saa 10 jioni mpaka 11 jioni. Mkurugenzi wa Lukiza Autism Foundation Hilda Nkabe ataongelea kuhusu Usonji na Umuhimu wa Elimu Jumuishi Internews in Tanzania Internews Dr. Jackline Njagi Lidubwi TBC FM TBC DIGITAL #InclusiveMediaProject


Mkurugenzi wa Child Support Tanzania Bi Noelah Noelah Msuya Shawa akitoa brief ya kazi CST imefanya kwa ushirikiano na CBM katika kikao cha mwaka cha wadau wa CBM, Mbele ya mgeni rasmi Mh Jacob Mwinula kutoka office ya waziri mkuu kitengo cha uremavu.


“Mwishoni kwenye #WikiYaAzaki2021 kutakua na tuzo kwa ajili ya Asasi za Kiraia zilizofanya vizuri maeneo mbali mbali ya kisekta, mfano, Uwajibikaji kwa jamii, Utatuzi migogoro, Kuhudumia watu wenye Ulemavu na haki zao na nyinginezo” Anna Henga (Advocate) #AzakiNaMaendeleo




Changamoto za kitabia kwa watoto na vijana wenye Usonji mara nyingi huwa ni kikwazo kwao kuchanganyika katika shughuli za kijamii. Kwa kadri jamii itakapopata elimu zaidi kuhusu Usonji na kuwakubali ndivyo itakavyokuwa rahisi kwao kujumuika Internews in Tanzania Internews Hilda Nkabe

Today the Foundation for Civil Society team, representative from the Office of the Registar of NGOs, representatives from DANIDA & CWCD team paid a coutersy call visit to the Arusha Regional Secretariat office & met the RAS Dr Athumani J Kihamia during our Joint Monitoring visit in Arusha #JMV2021


Foundation for Civil Society Executive Director Francis Kiwanga speaking to the Arusha RAS Dr Athumani J Kihamia on our work in protecting girls rights & empowering girls voices in Arusha #JMV2021



We are discussing “Tourette Syndrome Vs Autism Spectrum Disorder” with Kuganda S, Nazma Chagani, Godfrey Kimathy, and DIFFERENTLY-ABLED TZ. Today, 28 Nov at 6:00 PM GMT 3 in @clubhouse. Join us! clubhouse.com/event/xBRRgJRx Kumekucha Club Clubhouse Miriam Elisha Mental Health Tanzania Hilda Nkabe