Chezalive (@chezalive) 's Twitter Profile
Chezalive

@chezalive

All About Football....#Michezolive || Events || Memory || Transfer News|| Makala Za Michezo๐Ÿ‘‡๐Ÿผ

ID: 1211726735651115008

linkhttps://www.youtube.com/@Chezalive calendar_today30-12-2019 19:12:33

20,20K Tweet

23,23K Followers

144 Following

Chezalive (@chezalive) 's Twitter Profile Photo

UEFA CHAMPIONS LEAGUE ๐—™๐—จ๐—Ÿ๐—Ÿ ๐—ง๐—œ๐— ๐—˜: ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น AC Milan 1-3 Liverpool ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Real Madrid 3-1 Stuttgart ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Sporting 2-0 Lille ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Bayern 9-2 Dinamo ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ท

UEFA CHAMPIONS LEAGUE 
๐—™๐—จ๐—Ÿ๐—Ÿ ๐—ง๐—œ๐— ๐—˜:
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น AC Milan 1-3 Liverpool ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Real Madrid 3-1 Stuttgart ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช
๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Sporting 2-0 Lille ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Bayern 9-2 Dinamo ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ท
Chezalive (@chezalive) 's Twitter Profile Photo

Kylian Mbappรฉ ameingia kwenye Kumi Bora ya Wafungaji Bora wa Muda Wote ndani ya Ligi ya Mabingwa. Amefikisha mabao 49 na kumpita Zlatan Ibrahimoviฤ‡ kwa sasa Analingana na Alfredo Di Stefano. Pia Yuko bao moja tu nyuma ya Thierry Henry. Mbappe Ni Balaa ๐Ÿ”ฅโšฝ๏ธ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท

Kylian Mbappรฉ  ameingia kwenye Kumi Bora ya Wafungaji Bora wa Muda Wote ndani ya Ligi ya Mabingwa.

Amefikisha mabao 49 na kumpita Zlatan Ibrahimoviฤ‡ kwa sasa Analingana na Alfredo Di Stefano.

Pia Yuko bao moja tu nyuma ya Thierry Henry.

Mbappe Ni Balaa ๐Ÿ”ฅโšฝ๏ธ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท
Chezalive (@chezalive) 's Twitter Profile Photo

Miaka 18 Tu Kashaanza Kuvunja Rekodi Ndani ya Real Madrid ๐Ÿ”ฅ Ni Kinda Endrick amevunja Rekodi ya Nyota wa Zamani Raul. Amekua Mchezaji Mdogo Zaidi wa Real Madrid kufunga bao kwenye LIGI YA MABINGWA.

Miaka 18 Tu Kashaanza Kuvunja Rekodi Ndani ya Real Madrid ๐Ÿ”ฅ

Ni Kinda Endrick amevunja Rekodi ya Nyota wa Zamani Raul.

Amekua Mchezaji Mdogo Zaidi wa Real Madrid kufunga bao kwenye LIGI YA MABINGWA.
Chezalive (@chezalive) 's Twitter Profile Photo

Ratiba Ya Leo Ndani ya UEFA Champions League โšฝ๏ธ โฐ๏ธ 19.45 ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Bologna - Shakhtar Donetsk ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ Sparta Prague - RB Salzburg ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น โฐ๏ธ 22.00 ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ณ๓ ฃ๓ ด๓ ฟ Celtic - Slovan Bratislava ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฐ ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Club Brugge - Dortmund ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Man City - Inter ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท PSG - Girona ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ

Ratiba Ya Leo Ndani ya UEFA Champions League โšฝ๏ธ

โฐ๏ธ 19.45
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Bologna - Shakhtar Donetsk ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ Sparta Prague - RB Salzburg ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น

โฐ๏ธ 22.00
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ณ๓ ฃ๓ ด๓ ฟ Celtic - Slovan Bratislava ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฐ
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Club Brugge - Dortmund ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Man City - Inter ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น
๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท PSG - Girona ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ
Chezalive (@chezalive) 's Twitter Profile Photo

โœ…RASMI: Klabu ya AEK Athens imekamilisha usajili wa Anthony Martial (28) kama wakala huru! Atawasili Ugiriki usiku wa leo kwa ajili ya kukamilisha taratibu zote.

โœ…RASMI: Klabu ya AEK Athens imekamilisha usajili wa Anthony Martial (28) kama wakala huru! 

 Atawasili Ugiriki usiku wa leo kwa ajili ya kukamilisha taratibu zote.
Chezalive (@chezalive) 's Twitter Profile Photo

Rekodi za Kutisha za Mshambuliaji Gykรถkeres wa Sporting CP ๐Ÿ”ฅ Michezo Tisa : Mabao 12 Assist 4 ๐Ÿ…ฐ๏ธ vs Porto โšฝ๏ธ๐Ÿ…ฐ๏ธ vs Rio Ave โšฝ๏ธโšฝ๏ธ vs Nacional โšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธ vs Farense โšฝ๏ธ vs Porto โšฝ๏ธ๐Ÿ…ฐ๏ธ๐Ÿ…ฐ๏ธ vs Azerbaijan โšฝ๏ธโšฝ๏ธ vs Estonia โšฝ๏ธ vs Arouca โšฝ๏ธ vs Lille

Rekodi za Kutisha za Mshambuliaji Gykรถkeres wa Sporting CP ๐Ÿ”ฅ 

Michezo Tisa : Mabao 12 Assist 4

๐Ÿ…ฐ๏ธ vs Porto
โšฝ๏ธ๐Ÿ…ฐ๏ธ vs Rio Ave
โšฝ๏ธโšฝ๏ธ vs Nacional
โšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธ vs Farense 
โšฝ๏ธ vs Porto
โšฝ๏ธ๐Ÿ…ฐ๏ธ๐Ÿ…ฐ๏ธ vs Azerbaijan
โšฝ๏ธโšฝ๏ธ vs Estonia
โšฝ๏ธ vs Arouca
โšฝ๏ธ vs Lille
Chezalive (@chezalive) 's Twitter Profile Photo

Harry Kane kafanikiwa kufunga Magoli 7katika mechi zake 2 zilizopita akiwa na Bayern Munich. Jumamosi: Hat-Trick โšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธ Jumanne: Haul โšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธ Huyu Mwamba Kakosa Taji Tu Ila Kufunga Ni Balaa ๐Ÿ”ฅ

Harry Kane kafanikiwa kufunga Magoli 7katika mechi zake 2 zilizopita akiwa na Bayern Munich. 

Jumamosi: Hat-Trick โšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธ

 Jumanne: Haul โšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธ

Huyu Mwamba Kakosa Taji Tu Ila Kufunga Ni Balaa ๐Ÿ”ฅ
Chezalive (@chezalive) 's Twitter Profile Photo

Nyota Adrien Rabiot amejiunga na wapinzani wa PSG yaani Olympique Marseille kama Mchezaji Huru. Kumbuka Alishawahi kuichezea PSG pia.

Nyota Adrien Rabiot amejiunga na wapinzani wa PSG yaani Olympique Marseille kama Mchezaji Huru.

Kumbuka Alishawahi kuichezea PSG pia.
Chezalive (@chezalive) 's Twitter Profile Photo

Kocha mkuu wa zamani wa Torino Ivan Juric ndiye mbadala wa Daniele de Rossi ambaye amefutwa kazi leo. Anakuwa meneja mpya wa AS Roma mpaka Juni 2025. Kuna chaguo la kuongeza mkataba hadi Juni 2026 ikiwa Roma itafuzu kucheza Ligi ya Mabingwa 2025/26. Via Fabrizio Romano

Kocha mkuu wa zamani wa Torino Ivan Juric ndiye mbadala wa Daniele de Rossi ambaye amefutwa kazi leo.

Anakuwa meneja mpya wa AS Roma mpaka Juni 2025.

Kuna chaguo la kuongeza mkataba hadi Juni 2026 ikiwa Roma itafuzu kucheza Ligi ya Mabingwa 2025/26.

Via <a href="/FabrizioRomano/">Fabrizio Romano</a>
Chezalive (@chezalive) 's Twitter Profile Photo

Ansu Fati amerejea rasmi kutoka katika majeraha. Huenda akapata nafasi ya kucheza baada ya kuchaguliwa katika kikosi cha Barcelona. Kuelekea mechi yao ya UCL dhidi ya Monaco siku ya Alhamisi.

Ansu Fati amerejea rasmi kutoka katika majeraha.

Huenda akapata nafasi ya kucheza baada ya kuchaguliwa katika kikosi cha Barcelona.

 Kuelekea mechi yao ya UCL dhidi ya Monaco siku ya Alhamisi.
Chezalive (@chezalive) 's Twitter Profile Photo

"IMANI YA EL FENOMENO ILIMPONYA VITANI". Mambo makubwa yalitarajiwa kutoka kwa Ronaldo Nazario akiwa na Brazil katika Kombe la Dunia 1998 lililofanyika nchini Ufaransa, ila Brazil waliambulia kichapo na kufungwa mabao 3-0 na wenyeji huku wenyeji wakiwa na kikosi kilichotukuka

"IMANI YA EL FENOMENO ILIMPONYA VITANI".

Mambo makubwa yalitarajiwa kutoka kwa Ronaldo Nazario akiwa na Brazil katika Kombe la Dunia 1998 lililofanyika nchini Ufaransa,

 ila Brazil waliambulia kichapo na kufungwa mabao 3-0 na wenyeji huku wenyeji wakiwa na kikosi kilichotukuka
Chezalive (@chezalive) 's Twitter Profile Photo

Matokeo ya UEFA Champions League โฑ๏ธ ๐—™๐—จ๐—Ÿ๐—Ÿ ๐—ง๐—œ๐— ๐—˜: ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Bologna 0-0 Shakhtar ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ Sparta Prague 3-0 Salzburg ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ณ๓ ฃ๓ ด๓ ฟ Celtic 5-1 Slovan Bratislava ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฐ ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Club Brugge 0-3 Dortmund ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Man City 0-0 Inter ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท PSG 1-0 Girona ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ

Matokeo ya UEFA Champions League 

โฑ๏ธ ๐—™๐—จ๐—Ÿ๐—Ÿ ๐—ง๐—œ๐— ๐—˜:
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Bologna 0-0 Shakhtar ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ Sparta Prague 3-0 Salzburg ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ณ๓ ฃ๓ ด๓ ฟ Celtic 5-1 Slovan Bratislava ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฐ
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Club Brugge 0-3 Dortmund ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Man City 0-0 Inter ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น
๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท PSG 1-0 Girona ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ
Chezalive (@chezalive) 's Twitter Profile Photo

Wagiriki Wampokea Martial Kifalme ! Shangwe lilikuwa Kubwa Wakati wa Mapokezi ya Nyota Mpya wa AEK Athens, Antony Martial. Kulingana na Jarida la Fos, Martial amekubali mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya Euro milioni 3.5 (ยฃ2.9 milioni) kwa msimu. Hii itamfanya kuwa

Wagiriki Wampokea Martial Kifalme !

Shangwe lilikuwa Kubwa Wakati wa Mapokezi  ya Nyota Mpya wa AEK Athens, Antony Martial.

Kulingana na Jarida la Fos, Martial amekubali mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya Euro milioni 3.5 (ยฃ2.9 milioni) kwa msimu.

Hii itamfanya kuwa
Chezalive (@chezalive) 's Twitter Profile Photo

Ratiba ya Mechi Za Leo Ndani ya UCL โฐ 19.45: ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Feyenoord vs. Leverkusen ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ธ Red Star vs. Benfica ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น โฐ 22.00: ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Atalanta vs. Arsenal ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Atlรฉtico vs. RB Leipzig ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Brest vs. Sturm Graz ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡จ Monaco vs. Barcelona ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ

Ratiba ya Mechi Za Leo Ndani ya UCL

โฐ 19.45:
๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Feyenoord vs. Leverkusen ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช
๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ธ Red Star vs. Benfica ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น

โฐ 22.00:
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Atalanta vs. Arsenal ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Atlรฉtico vs. RB Leipzig ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช
๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Brest vs. Sturm Graz ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น
๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡จ Monaco vs. Barcelona ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ
Chezalive (@chezalive) 's Twitter Profile Photo

Klabu ya Manchester City imeandikisha rekodi ya kucheza michezo 24 ya UEFA InterClub bila kupoteza hata mmoja wakiwa kwenye uwanja wa Etihad Stadium ๐ŸŸ๏ธ.

Klabu ya Manchester City imeandikisha rekodi ya kucheza michezo 24 ya UEFA InterClub bila kupoteza hata mmoja wakiwa kwenye uwanja wa Etihad Stadium ๐ŸŸ๏ธ.
Chezalive (@chezalive) 's Twitter Profile Photo

Chelsea wapo Tayari kumuachia Mykhailo Mudryk kuondoka Mwezi Januari, Huenda akauangana na Kocha wake wazamani Roberto De Zerbi wa Marseille. Walifanya kazi pamoja ndani ya Shaktar Donetsk. Via TEAMtalk

Chelsea wapo Tayari kumuachia Mykhailo Mudryk kuondoka Mwezi Januari,

Huenda akauangana na Kocha wake wazamani  Roberto De Zerbi wa Marseille. 

Walifanya kazi pamoja ndani ya Shaktar Donetsk.

Via <a href="/TEAMtalk/">TEAMtalk</a>
Chezalive (@chezalive) 's Twitter Profile Photo

โœAlisajiliwa Borussia Dortmund Akiwa na Majeraha Kapona Na Jana Kaweka Kamba Moja Baada Ya Kutoka Majeraha. Ni ndoto ya kila mchezaji kucheza ligi ya mabingwa na jana kaingia kwenye kitabu cha wafungaji kwenye michuano hii mikubwa.

โœAlisajiliwa Borussia Dortmund Akiwa na Majeraha Kapona Na Jana Kaweka Kamba Moja Baada Ya Kutoka Majeraha.

Ni ndoto ya kila mchezaji kucheza ligi ya mabingwa na jana kaingia kwenye kitabu cha wafungaji kwenye michuano hii mikubwa.