🦁𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 𝐎 β„’ (@charliebihemo) 's Twitter Profile
🦁𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 𝐎 β„’

@charliebihemo

|| Ξ—Ξ£ΞŸΞ₯Ξ£ ||

ID: 3206850970

linkhttps://twitter.com/CharlieBihemo/status/1445637391755010051?t=Q0E7EJTiq6-VsAw5vFb1yg&s=19 calendar_today25-04-2015 17:06:54

365,365K Tweet

85,85K Followers

941 Following

🦁𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 𝐎 β„’ (@charliebihemo) 's Twitter Profile Photo

πŸ“DAR ES SALAAM, Tanzania Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael A. Battle amesema kuwa Nchi yake (Marekani) inatambua kazi kubwa na dhamira ya Rais Samia Suluhu katika kuhakikisha watanzania wote wanakuwa salama na amesisitiza kuwa Nchi yake iko tayari kuunga mkono

Chinese Embassy in Tanzania (@chineseembtz) 's Twitter Profile Photo

πŸŒπŸ˜πŸ¦’ Zimebakia siku 50 tu kwa Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji wa Bidhaa za China (CIIE). 🌟 Jiunge nasi katika safari ya maajabu kushangaa swala wanaohama katika mbuga za Tanzania. Hebu tuangalie tukio mahiri la kimataifa la kukuza uhusiano wa China na Afrika pamoja.

Tanzania Ya Samia (@tanzaniayamama) 's Twitter Profile Photo

πŸ“Ikulu, Dar es Salaam πŸ—“οΈ20 Septemba, 2024. Mhe. Rais Samia Suluhu amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura pamoja na Makamishna wa Jeshi hilo. #TanzaniaYaSamia

πŸ“Ikulu, Dar es Salaam
πŸ—“οΈ20 Septemba, 2024.

Mhe. Rais Samia Suluhu amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura pamoja na Makamishna wa Jeshi hilo.

#TanzaniaYaSamia
Msomi Khan (@msomikhan18) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura pamoja na Makamishna wa Jeshi hilo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 20 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura pamoja na Makamishna wa Jeshi hilo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 20 Septemba, 2024.
Paschal sam (@paschalsam1) 's Twitter Profile Photo

Rubani piga Raundi angani 18,900 bure kutoka SportPesa Tanzania Rusha kindege na ushinde mamilioni ya hela unasubiri nini kunyeshewa na maokoto Bofya Link kucheza bit.ly/SportPesa-BT-X6 #SportpesaUshindi

Rubani piga Raundi angani 18,900 bure kutoka <a href="/TZSportPesa/">SportPesa Tanzania</a>

Rusha kindege na ushinde mamilioni ya hela unasubiri nini kunyeshewa na maokoto 

Bofya Link kucheza bit.ly/SportPesa-BT-X6

#SportpesaUshindi
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

πŸ“Masasi, Mtwara #SautiZaWananchi | πŒππ€π€π™πˆ 𝐒𝐀𝐒𝐀 𝐍𝐈 π‚π‡π€πŠπ”π‹π€ 𝐍𝐀 π™π€πŽ 𝐋𝐀 ππˆπ€π’π‡π€π‘π€. #MamaYukoKazini

🦁𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 𝐎 β„’ (@charliebihemo) 's Twitter Profile Photo

πŸ—“οΈ20 September 2024 πŸ“Dar es Salaam, Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura pamoja na Makamishna wa Jeshi Polisi Tanzania, Ikulu .

🦁𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 𝐎 β„’ (@charliebihemo) 's Twitter Profile Photo

Marekani 🀝 Tanzania β€œTunatambua kwamba kati ya Marekani na Tanzania hakuna ambaye ana Demokrasia iliyokamilika. Kwa wiki zilizopita tumeshuhudia vurugu katika Chaguzi za Marekani. Wakati Tanzania inaelekea kwenye chaguzi mwezi Novemba na mwakani ni vyema tukaimarisha

Idriss🌍 (@idrisaiddytz) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura pamoja na Makamishna wa Jeshi Polisi Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Idriss🌍 (@idrisaiddytz) 's Twitter Profile Photo

πŸ“DAR ES SALAAM Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael A. Battle amesema kuwa Nchi yake (Marekani) inatambua kazi kubwa na dhamira ya Rais Samia Suluhu katika kuhakikisha watanzania wote wanakuwa salama na amesisitiza kuwa Nchi yake iko tayari kuunga mkono jitihada hizo.

Paschal sam (@paschalsam1) 's Twitter Profile Photo

Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael A. Battle amesema kuwa Nchi yake (Marekani) inatambua kazi kubwa na dhamira ya Rais Samia Suluhu katika kuhakikisha watanzania wote wanakuwa salama na amesisitiza kuwa Nchi yake iko tayari kuunga mkono jitihada hizo. #MamaYukoKazini