Chadema Nyasa (@chademanyasa) 's Twitter Profile
Chadema Nyasa

@chademanyasa

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) - Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (Nyasa)

ID: 872646407550840836

calendar_today08-06-2017 02:48:11

539 Tweet

7,7K Followers

20 Following

Chadema Nyasa (@chademanyasa) 's Twitter Profile Photo

"Hakuna ubishi tena kwamba kilimo kimeporomoka kutoka wastani wa ukuaji wa 4% ya wakati wa Awamu ya Tatu ya Rais Mkapa na Awamu ya Nne ya Rais Kikwete hadi kufikia ukuaji wa kati ya 1.7% hadi 3% ndani ya miaka 4 tu ya utawala huu wa Awamu ya Tano ya Rais Magufuli" -Peter Msigwa

"sababu y ukuaji mdogo wa kilimo, sasa umaskini wa utapiamlo umekuwa ukishuka kwa 1% tu kwa mwaka huku umaskini ukishuka kwa 0.5% tu. Hali hii, itachukua zaidi ya miaka 30 kuondoa utapiamlo na itachukua zaidi miaka 50 kupunguza umaskini kama uwekezaji mkubwa hautafanyika - Msigwa

Mbunge wa Jimbo la Tunduma mkoani Songwe Mhe. FRANK MWAKAJOKA leo Jumatano tarehe 19/02/2020 amekutana na Viongozi wa Kata ya Mpande Jimbo la Tunduma katika ziara ya ujenzi na uenezi wa Chadema

Mbunge wa Jimbo la Tunduma mkoani Songwe Mhe. FRANK MWAKAJOKA leo Jumatano tarehe 19/02/2020  amekutana na Viongozi wa Kata ya Mpande Jimbo la Tunduma katika ziara ya ujenzi na uenezi wa Chadema
Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Natoa rai kwa Mgombea Urais wa CCM na vyombo vyetu vya habari, kufanikisha mdahalo kuhusu mustakabali wa Taifa letu la Tanzania 🇹🇿! Calling on the incumbent President John Magufuli for a public presidential debate! Retweet 🔁 kama unakubaliana nami!! #TunduLissu2020 #SasaBasi

Chadema Nyasa (@chademanyasa) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa Chadema Mh. MNYIKA John John alipohudhuria mkutano wa kampeni wa Mh. Suzan Lyimo - Mgombea Ubunge Kinondoni uliofanyika Makumbusho (kwa Mapilau) Septemba 13, 2020 mkutano huo ulihudhuriwa pia na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbagala Mh. Khadija Mwago (pichani katikati).

Katibu Mkuu wa Chadema Mh. <a href="/jjmnyika/">MNYIKA John John</a> alipohudhuria mkutano wa kampeni wa Mh. Suzan Lyimo - Mgombea Ubunge Kinondoni uliofanyika Makumbusho (kwa Mapilau) Septemba 13, 2020 mkutano huo ulihudhuriwa pia na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbagala Mh. Khadija Mwago (pichani katikati).
Chadema Nyasa (@chademanyasa) 's Twitter Profile Photo

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Malinyi Mh. Imelda Maley (Chadema) anaendelea na mikutano yake ya kampeni na hapo akiwa katika moja ya Kijiji kilichopo Kata ya Msangule. Agosti 13, 2020 #ImeldaMaleyMalinyi2020 #UhuruHakiNaMaendeleoYaWatu #SasaBasi

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Malinyi Mh. Imelda Maley (Chadema) anaendelea na mikutano yake ya kampeni na hapo akiwa katika moja ya Kijiji kilichopo Kata ya Msangule.
Agosti 13, 2020
#ImeldaMaleyMalinyi2020
#UhuruHakiNaMaendeleoYaWatu 
#SasaBasi
Chadema Nyasa (@chademanyasa) 's Twitter Profile Photo

Mchana huu, Septemba 24, 2020 mapokezi ya Mgombea Urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu, Nkome, Jimbo la Geita Vijijini, viwanja vya Ihumiro.