Carol Ndosi
@CarolNdosi
#WomenInTech #KilimoNaCarol | Digital Inclusion | SKILLS | @thelaunchpadtz @lpdigitaltz @techwomentz @nyamachomafest @sheroestanzania @_123productions
ID:248618354
http://www.lpdigital.or.tz 07-02-2011 11:26:11
339,8K Tweets
583,3K Followers
2,7K Following
Kabla ya kuendesha kurasa ya taasisi, lazima ujue walengwa wenu ni kina nani? Wanataka nini? Na wanapitia shida gani?
Hii itakuwezesha kutengeneza content ambazo ni relatable.
Kila content unayoitengeneza ni lazima ufahamu dhumuni, na ni kwaajili ya nani?
#Elimikawikiendi
Breakdown Manenos! π
In the middle of somewhere in Tanzania na giza ndio linaingia π
Someday tutaachia Behind the Scenes ya kazi za 123 productions
Eti usipotabasamu siku nzima unaweza kupata kichomi kabisa
Energy!!
On to the next one 123 productions πͺπΎπͺπΎπͺπΎ
Asanteni sana kwa kuniamini na kunipa fursa hii adhimu ya kuwa mjumbe wa Bodi ya Sauti ya Vijana ya Umoja wa Ulaya - Tanzania. Hii ni heshima kubwa kwangu.
Natarajia kufanya kazi na wajumbe wenzangu, kuishauri EU in Tanzania kuwekeza katika maendeleo ya vijana ili kudumisha Amani.