Naomy (@carenuswege) 's Twitter Profile
Naomy

@carenuswege

watu hubadirika usibaki ulivo👊👊

ID: 1252568102308589571

calendar_today21-04-2020 12:01:55

26,26K Tweet

6,6K Followers

4,4K Following

MIRIAM💜 (@miriammkanaka) 's Twitter Profile Photo

Usione watu wanacheka muda wote lakini ndani wamebeba Presha za Familia, Bili ambazo hazajilipwa, ndoto kibao ambazo hazijatimia. Najua sio rahisi kupambana kimya kimya ukiwa unatabasamu na moyoni una mzigo, Usikate tamaa kile unachopitia Leo kesho kitakuwa ushuhuda wako🙏💜

Ms_Frida💎 (@famworld2025) 's Twitter Profile Photo

House for sale❗️❗️Nyumba inauzwa❗️❗️ Wale wanaotaka kuwekeza Mbeya mjini jamani Block Q nyumba ipo barabarani kabisa haina dalali ❌kwa mawasiliano nichek dm nikuunganishe moja kwa moja na mmiliki🙏

AKILI NYINGI (@emajb6) 's Twitter Profile Photo

Kipindi nipo chuo nilipitia maisha magumu sana ikafika hatua nikahamishia majeshi kwa familia kunisaidia chochote kitu, ndugu upande wa mama walisema hawanijui then upande wa baba wakasema nina wazazi,, mama yangu mzazi hakutaka kupokea tena simu, mzee tu ndie alisimama mimi...

Glatus (@gadikivike) 's Twitter Profile Photo

Ukipata nafasi ya kusali sali sanaa ombea shughuli zako za kujipatia kipato vita ya umasikini haijawahi kuwa nyepesi...👏🇹🇿 Good morning familia.

MIRIAM💜 (@miriammkanaka) 's Twitter Profile Photo

Mungu azidi kukupa kibali cha kukumbukwa na kuonekana kwa watu, Jina lako litajwe kwenye vyumba vya Fursa hata kama haupo, Good Morning My Good People🙏💜

MIRIAM💜 (@miriammkanaka) 's Twitter Profile Photo

Ukijifunza kukubali matokeo kwamba kuna siku utapata na kuna siku utakosa, kuna siku utafurahi na kuna siku utahuzunika maisha yanakuwa mepesi moyoni. Huwezi kufurahi kila siku, lakini unaweza kuwa na amani kila siku. 🙏💜

SANUKAnaCHAPO (@chapo255) 's Twitter Profile Photo

Maisha yana mambo mengi sana! Kuna nyumba ukipewa uishi bure unaweza ukashindwa hata kugharamia bill yake ya umeme kwa mwezi!

Tinah Mamantilie~mantilie wa X🥰 (@tinahcristiaan) 's Twitter Profile Photo

Mmesema hamtaki vya kuchimba🤣🤣Mteja wangu leo ametaka Mchemsho wa kiazi kitamu,nyanya chungu za kienyeji,Bamia na Nyama..Pamoja na juice ya Nanasi frsh niweke na pilipili manga🥰🥰😊Nitamuuu..

Mmesema hamtaki vya kuchimba🤣🤣Mteja wangu leo ametaka Mchemsho wa kiazi kitamu,nyanya chungu za kienyeji,Bamia na Nyama..Pamoja na juice ya Nanasi frsh niweke na pilipili manga🥰🥰😊Nitamuuu..
The champ👑 (@fintanjr_) 's Twitter Profile Photo

Laana iambatane na nyie wanetu mnaokimbia majukumu yenu baada ya kuwazalisha wanawake!!🤒💔.. Jana usiku nilienda phamacy , wakati nipo pale akaja mdada ni mzuri tu, akaulizia dawa ya kikohozi ya mtoto, bhasi akaomba apewe dawa isiyozidi 3,000, yule anayetuhudumia akamwambia ,

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Wanawake wanapitia mambo mengi sana ukipata nafasi ya kumsaidia we msaidie tu, mtie moyo, msikilize, mpende, mpe hela, atakuheshimu tu. Happy Women's Day

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Ukimpata mwanamke anayeweza kumeza hasira yake na kukuandalia chakula vizuri uku mkiwa na ugomvi basi huyo Mwanamke mshikirie sana. Elewa neno "Chakula" apo

emmanuel (@ngassa_03) 's Twitter Profile Photo

Haitakuja kutokea soda tamu na yenye flavour nzuriTanzania kama Jambo cocopine Aisee wapishi wa hii soda walijipinda Sana🔥

Haitakuja kutokea soda tamu na yenye flavour nzuriTanzania kama Jambo cocopine Aisee  wapishi wa hii soda walijipinda Sana🔥
Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Saiv sio kwamba watu hawapendi kufanya kazi sio wote, mtu ameshazunguka sana town, kashasambaza barua kila sehemu, kashapiga simu saana, ameshaamka asubuhi sana kwenda kutafuta fursa uko napo amekosa. Ameamua kukausha tu na kumuachia Mungu aingilie kati Tusiwaone wazembe