Caltexism  (@caltexjr) 's Twitter Profile
Caltexism 

@caltexjr

The Rolls Royce Genius From Western sahara! The C.E.O of caltex de Raymond chanel Booking@[email protected]

ID: 1406571570479484931

linkhttp://Caltexism.com calendar_today20-06-2021 11:16:28

106,106K Tweet

16,16K Followers

7,7K Following

𝑳𝑼𝑻𝑯𝑬𝑹 18 (@amaryamary9) 's Twitter Profile Photo

Mda mwingine tuwe serious wazee Mtu unaenda kuomba kazi sehemu fulani sio ya kuajiriwa ila kazi za kawaida tu kwa maboss. Mkononi umeshika Aifoni macho matatu, simu kali kuliko ya Boss.😄 Umefuga ndevu kama Osama😃 Umevaa nguo za michaniko kama Justin Bieber. Umesuka nywele

Caltexism  (@caltexjr) 's Twitter Profile Photo

Unataka Utajiri masharti utayaweza,? Hata Saidi Lugumi masharti yake yeye ni anatakiwa acheke kila mda,ni rahisi Ila utaweza kweli ndugu yangu?

Unataka Utajiri masharti utayaweza,? Hata Saidi Lugumi masharti yake yeye ni anatakiwa acheke kila mda,ni rahisi Ila utaweza kweli ndugu yangu?
Caltexism  (@caltexjr) 's Twitter Profile Photo

Shabiki yeyote wa simba au Real Madrid uliepo macho mdaa huu, shusha emoji ya motor🔥 hapo nchini tusalimiane 🔥🔥

Caltexism  (@caltexjr) 's Twitter Profile Photo

Baada ya list ya awali ya wagombea wa CCM waliopita kwenye hatua ya mchujo, Mchekeshaji MKOJANI, ameamua kuwatolea Uvivu ndugu wajumbe 😂😂😂 Jamaa analilia laki tano yake, video iko hapo chini 😀 RITWIT IFIKE MBALI

Caltexism  (@caltexjr) 's Twitter Profile Photo

“Stop Being patient and Start asking yourself: How can I Accomplish my 10-year plan in 6 Months? In fact you will probably fail, But you will be Far ahead of a person who simply accepted it would take 10-years” ♟