profile-img
CCM Digital

@CCMdigital24

Ukurasa wa Taarifa za Chama Cha Mapinduzi (CCM) | [email protected] | CCM Kiganjani Kwako๐Ÿ“ฑ๐Ÿคš

calendar_today30-09-2021 04:10:18

7,0K Tweets

3,1K Followers

46 Following

CCM Digital(@CCMdigital24) 's Twitter Profile Photo

MKUTANO WA HADHARA WA UVCCM SHILABELA GEITA

Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Ndg. Abdi Mahmoud akizungumza na maelfu ya Vijana wa CCM waliojitokeza kwenye Mkutano wa Hadhara wa Umoja wa Vijana wa CCM uliofanyika katika viwanja vya Shilabela mkoani Geita tarehe 4 Mei, 2024.

MKUTANO WA HADHARA WA UVCCM SHILABELA GEITA Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Ndg. Abdi Mahmoud akizungumza na maelfu ya Vijana wa CCM waliojitokeza kwenye Mkutano wa Hadhara wa Umoja wa Vijana wa CCM uliofanyika katika viwanja vya Shilabela mkoani Geita tarehe 4 Mei, 2024.
account_circle