Zanzibar Bureau of Standards (@bureauzanzibar) 's Twitter Profile
Zanzibar Bureau of Standards

@bureauzanzibar

ISO 9001: 2015 CERTIFIED
Ukurasa rasmi ZBS
Kwa ushauri au msaada piga namba +255-24-2232225
Maruhubi, Zanzibar, Tanzania. P.O.BOX 1136, ZNZ.

ID: 1193071657986019328

linkhttps://zbs.go.tz/ calendar_today09-11-2019 07:44:03

758 Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

Zanzibar Bureau of Standards (@bureauzanzibar) 's Twitter Profile Photo

Tanzania kupitia TBS na ZBS imepata fursa ya kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa ARSO utakaofanyika Hoteli ya Golden Tulip Airport, Zanzibar tarehe 23 hadi 27 Juni 2025. Tunawaalika wadau wote wa Viwango, Biashara, na maendeleo kushiriki katika tukio hili la kihistoria.