Budah Kassim (@budakassim) 's Twitter Profile
Budah Kassim

@budakassim

ID: 1299384382634029059

calendar_today28-08-2020 16:32:42

666 Tweet

40 Takipçi

124 Takip Edilen

GLNs Global (@glnsglobal) 's Twitter Profile Photo

SidraChain Many user facing issue in adding liquidity, Swap errors, Sending, transection errors, Sidra Start errors. Please look it this Thank you

Comrade Kicheche Jr (@kicheche_jr) 's Twitter Profile Photo

Ukitaja jina la Yesu majini, mapepo na roho za kishetani zinamtoka mtu. Sasa niambie sababu zako za msingi za kumkataa Yesu ni zipi?

Djkid_b (@blessdgroovekid) 's Twitter Profile Photo

WAFILIPI 4:5-6 Upole wenu na ujulikane na watu wote. Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, Haja zenu na zijulikane na Mungu.🙏

Mercides  (@caltexjr1) 's Twitter Profile Photo

Humu tushakataza Upuuzi wa namna hii Ukikuta mtu anapost ujinga wa aina hii Tia block aanze kujiongelesha. Tunamambo ya msingi ya kujadili kama vijana tunaohitaji kesho bora kwa ajili ya sisi na vizazi vijavyo . Sio upuuzi wa simba na yanga Au hizi mboga za P-didy. Repost 450

Humu tushakataza Upuuzi wa namna hii
Ukikuta mtu anapost ujinga wa aina hii Tia block aanze kujiongelesha.

Tunamambo ya msingi ya kujadili kama vijana tunaohitaji kesho bora kwa ajili ya sisi na vizazi vijavyo . Sio upuuzi wa simba na yanga Au hizi mboga za P-didy.

Repost 450
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Kama una miaka 30 now Technically umebakiza….. Miezi 420 ya kuishi. Wiki 1,820 za kuishi. Siku 12,780 za kuishi Masaa Laki tatu na elfu saba ya kuishi. Tubuni sasa na kuiamini Injili!!