Britanicca (@britanicca0) 's Twitter Profile
Britanicca

@britanicca0

whistle-blower living in Vladivostok Russia , CCM Member Since 2002, Defending People.

ID: 1387786741654884356

linkhttp://fichua.com calendar_today29-04-2021 15:12:10

6,6K Tweet

4,4K Takipçi

88 Takip Edilen

Britanicca (@britanicca0) 's Twitter Profile Photo

Ila kuna wakati najiuliza sana ,watu mbona wanafiki sana ?inakuwaje unaomba ubunge halafu urais unamuombea mpinzani wako? Mbona kama vile anafanya watu wamuamini polepole?

Britanicca (@britanicca0) 's Twitter Profile Photo

Naona watu wanampuuza tesha Nawakumbusha Hiyo ni spika tu! Jeshi zima liko pale na ile hotuba kaandikiwa na mtu fulan I know each and everything! Na Hiyo tarehe anarudi Mara ya pili kuna time frame ya jambo TUSIWE WASAMBAZA RELI NA KUDHARAU KILA KINACHOSEMWA AISE

Tanzania Abroad TV (@abroadtanzania) 's Twitter Profile Photo

When Trump said to Kim Jong Un, “I have nuclear weapons too, but mine are working,” he wasn’t kidding. Simpendi Trump Ila ni aina ya Rais anayetakiwa kule kuwanyoosha hawa Wengine ! Kwako My64impala🇺🇦🇺🇸🇹🇿🇮🇱 😁

When Trump said to Kim Jong Un, “I have nuclear weapons too, but mine are working,” he wasn’t kidding.

Simpendi Trump Ila ni aina ya Rais anayetakiwa kule kuwanyoosha hawa Wengine ! Kwako <a href="/comanchechiefIV/">My64impala🇺🇦🇺🇸🇹🇿🇮🇱</a> 😁
Britanicca (@britanicca0) 's Twitter Profile Photo

Watu na akili zao tuliwaheshimu, wako kwenye payroll za kina Rostam wanafumba macho ni upuuzi!siamini wanasiasa wanaharakti/upuuzi wowote ! Mi uwa Nina principals zangu !Acheni upuuzi aisee!Urais ni kitu cha miaka 5!Tanzania itakuwapo milele!Yaan imekuwa kama simba/yanga? Shame