✝️ Blessedgenius 🌐 Hao uliomalizia kuwaeleza wanaumwa hata EGW akifufuka Sasa Hivi atawaambia they belong to the Hell kama Sio Kwa shetani
Ebu nitajie sababu Kwa Nini Ellen G WHITE ni false Prophet naomba sababu zozote za ndani na nje ya Maandiko usijali nani anamwamin na nani hamwamini just tell