
Ben Dazo
@ben__dazo
Music Guru / Song Writter / MC / Actor
ID: 4231534011
20-11-2015 03:54:52
1,1K Tweet
988 Followers
774 Following




HakiElimu kwa kutumia lugha ya kiswahili kama lugha ys kufundishia itapanua uwanda mpana wa uelewa kwa wanafunzi lakini zaidi itasaidia kuongeza fursa za ajira na katika hilo itapelekea urahisi wa masomo kwa wanafunzi na kukifanya kiswahili kuwa lugha inayopendwa ndani na ata nje ya nchi












